Ni mdau Pascal Waniha akijiandaa kuilinda na kutetea nondozzz yake (Phd. in Physical-Mathematical Sciences)mbele ya Jopo la wataalamu katika chuo kikuu cha Russian State Hydro-meteorological University mjini St.Petersburg, Russia.
Mdau Waniha akitetea nondozzz yake mbele ya jopo la wataalamu
baada ya kufanya vyema kutetea nondozzz yake mdau aliandaliwa mnuso wa pongezi
Pascal Waniha mwenye Suti akiwa na baadhi ya wadau kutoka nchi mbalimbali wakiwemo baadhi ya watanzania waishio Saint-Petersburg.

kwa habari zaidi na picha bofya hapa chini
http://alfarone179.ning.com/





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. hongera mdau Phd. si kazi ndogo tena fizikia na Hesabu ila urudi nyumbani msihamie huko huko wataalamu wa fani hizo ni wachache sana nyumbani

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka, safari ni hatua. Ila usikae huko ughaibuni uje nyumbani tujenge Taifa!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Many Congrats Dr. Dokta Waniha. You braved the freezing cold to get something worthful for yourself and your beloved country. Thanks for raising our flag UP.

    ReplyDelete
  4. Advocate JashaDecember 21, 2009

    Hongera!hongera!honera tena hongera!Hiyo ni hatua kazi yako umemaliza.Kazi ya serekali ni kujifunza kuwatumia hawa wataalamu wetu kwa manufaa ya taifa.MUNGU IBARIKI TANZANIA!

    ReplyDelete
  5. Madu umeoa??? naomba contact zako bac...

    ReplyDelete
  6. hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaa pascalflx
    Mungu akubariki, urudi hm sasa 2nakuhitaji
    Dr. Pascal Waniha.

    ReplyDelete
  7. sijaona mkono wa kushoto, je yupo availabo?

    ReplyDelete
  8. Hongera mkuu natamani nami siku za usoni niikamate.

    ReplyDelete
  9. Hongera, tena na tena. Just guessing what the panel of examiners could be up to: The one on the left is trying to figure out what might be wrong with the method, the one in the middle trying to link up a statement from the presentation to some material in the main document and the one on the right taking note of a vital point to raise during the questions and answers session. What a nice experience to look back to! Again, congrats...

    ReplyDelete
  10. Kwa heshima na taathima nakuomba Dk. uje uwatungie vijana wako vitabu maana huku bongo vitabu vya kiada na zizdz vya Physics na Mathematics ni ishu kubwa sana. Huwezi amini mtu kama marehemu Wibonele aliyekua mwalimu pale Mzumbe notes zake zatumika karibu Tanzania nzima

    ReplyDelete
  11. Hongera sana Dr. Waniha! Sasa tangulia nyumbani, na sisi tunafuata tukishapata PHD zetu.....
    Former Vice chairman TSU
    USA

    ReplyDelete
  12. Kwa heshima na taadhima pokea mkono wangu wa hongera.

    Umenikosha kwelikweli.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. Dr. PASCAL..

    WANIHA, "MNENE"/ "PWAGU" ATAFURAHI SANA.... DARASANI ULIKUWA UNAINGIA KWA NADRA LAKINI MTIHANI WA, PHYSICS, MATH, CHEMISTRY SOMO LOLOTE LINALOHUSU "NUMBER" NI "99" KAMA SIO "100"...CLASS "M" FROM BOZA TO U.S.A .."JAAH RICH" YUKO WAPI MZEE ? NAE HATARI SANA KATIKA ANGA ZA KITABU...NILIKUWA NAISHI KWA "MNENE"/"PWAGU"...HONGERA SAANA...MUNGU AKUBARIKI..

    ReplyDelete
  14. Kwa kweli inafurahisha sana...
    Hongera sana Pascal.

    ReplyDelete
  15. du hongera sana uncle wangu aiseee bado akili zako zachaji tuu!!!! jamani mbona hamkutupunguzia na sie wanenu tuwe na DR wengi kwenye ukoo kama za kina nshomire? mi haka kadgree kangu nimeridhiiika.....
    Congrats Uncle
    Its Me pam(dada Mable's daughter)

    ReplyDelete
  16. WELL DONE! WATALAAM WAKITANZANIA TUPO WENGI HUKU UGHAIBUNI LAKINI TATIZO LA NCHI YETU VIONGOZI HAWAONI HILI WALA LILE. INABIDI WATENGENEZE MAZINGIRA KWA WATAALAMU KAMA HAWA WARUDI NYUMBANI KUFANYA KAZI ILI KUCHANGIA MAENDELEO!!!

    ReplyDelete
  17. nimependa pozi lako wakati wa kudefend unaonekana ulikuwa na confidence sana kaka,Hongera sana,all the best,umeoa?ur so handsome........

    ReplyDelete
  18. Nasasa tuangalie viwango vya juu vya....,Hongera sana mwalimu wangu.Tim

    ReplyDelete
  19. Kaka
    Hongera sana kwa kufikia malengo yako uliojiwekea ya PHD. Mimi mdogo wako niko nyuma yako na muda si mrefu nami ntakwea pipa kwenda tafuta yangu huko kwa OBAMA.
    Hongera sana
    Angel

    ReplyDelete
  20. hongera Pascal!
    Mtumie Pelle picha aone watu aliokuwa wanamchumia matunda leo hii ni wanataaluma..... maisha ni hatua
    Mdau wa Stockholm

    ReplyDelete
  21. incredible brother!! i salute you my dear jus keep it up

    ReplyDelete
  22. Hongera sana mzee sasa utarudi lini tena Huku Korea, Itaewon wanakuulizia au ndo bongo moja kwa moja? ,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...