


kwa habari zaidi na picha bofya hapa chini
http://alfarone179.ning.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera mdau Phd. si kazi ndogo tena fizikia na Hesabu ila urudi nyumbani msihamie huko huko wataalamu wa fani hizo ni wachache sana nyumbani
ReplyDeleteHongera sana kaka, safari ni hatua. Ila usikae huko ughaibuni uje nyumbani tujenge Taifa!!!!!!
ReplyDeleteMany Congrats Dr. Dokta Waniha. You braved the freezing cold to get something worthful for yourself and your beloved country. Thanks for raising our flag UP.
ReplyDeleteHongera!hongera!honera tena hongera!Hiyo ni hatua kazi yako umemaliza.Kazi ya serekali ni kujifunza kuwatumia hawa wataalamu wetu kwa manufaa ya taifa.MUNGU IBARIKI TANZANIA!
ReplyDeleteMadu umeoa??? naomba contact zako bac...
ReplyDeletehongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaa pascalflx
ReplyDeleteMungu akubariki, urudi hm sasa 2nakuhitaji
Dr. Pascal Waniha.
sijaona mkono wa kushoto, je yupo availabo?
ReplyDeleteHongera mkuu natamani nami siku za usoni niikamate.
ReplyDeleteHongera, tena na tena. Just guessing what the panel of examiners could be up to: The one on the left is trying to figure out what might be wrong with the method, the one in the middle trying to link up a statement from the presentation to some material in the main document and the one on the right taking note of a vital point to raise during the questions and answers session. What a nice experience to look back to! Again, congrats...
ReplyDeleteKwa heshima na taathima nakuomba Dk. uje uwatungie vijana wako vitabu maana huku bongo vitabu vya kiada na zizdz vya Physics na Mathematics ni ishu kubwa sana. Huwezi amini mtu kama marehemu Wibonele aliyekua mwalimu pale Mzumbe notes zake zatumika karibu Tanzania nzima
ReplyDeleteHongera sana Dr. Waniha! Sasa tangulia nyumbani, na sisi tunafuata tukishapata PHD zetu.....
ReplyDeleteFormer Vice chairman TSU
USA
Kwa heshima na taadhima pokea mkono wangu wa hongera.
ReplyDeleteUmenikosha kwelikweli.
(US Blogger)
Dr. PASCAL..
ReplyDeleteWANIHA, "MNENE"/ "PWAGU" ATAFURAHI SANA.... DARASANI ULIKUWA UNAINGIA KWA NADRA LAKINI MTIHANI WA, PHYSICS, MATH, CHEMISTRY SOMO LOLOTE LINALOHUSU "NUMBER" NI "99" KAMA SIO "100"...CLASS "M" FROM BOZA TO U.S.A .."JAAH RICH" YUKO WAPI MZEE ? NAE HATARI SANA KATIKA ANGA ZA KITABU...NILIKUWA NAISHI KWA "MNENE"/"PWAGU"...HONGERA SAANA...MUNGU AKUBARIKI..
Kwa kweli inafurahisha sana...
ReplyDeleteHongera sana Pascal.
du hongera sana uncle wangu aiseee bado akili zako zachaji tuu!!!! jamani mbona hamkutupunguzia na sie wanenu tuwe na DR wengi kwenye ukoo kama za kina nshomire? mi haka kadgree kangu nimeridhiiika.....
ReplyDeleteCongrats Uncle
Its Me pam(dada Mable's daughter)
WELL DONE! WATALAAM WAKITANZANIA TUPO WENGI HUKU UGHAIBUNI LAKINI TATIZO LA NCHI YETU VIONGOZI HAWAONI HILI WALA LILE. INABIDI WATENGENEZE MAZINGIRA KWA WATAALAMU KAMA HAWA WARUDI NYUMBANI KUFANYA KAZI ILI KUCHANGIA MAENDELEO!!!
ReplyDeletenimependa pozi lako wakati wa kudefend unaonekana ulikuwa na confidence sana kaka,Hongera sana,all the best,umeoa?ur so handsome........
ReplyDeleteNasasa tuangalie viwango vya juu vya....,Hongera sana mwalimu wangu.Tim
ReplyDeleteKaka
ReplyDeleteHongera sana kwa kufikia malengo yako uliojiwekea ya PHD. Mimi mdogo wako niko nyuma yako na muda si mrefu nami ntakwea pipa kwenda tafuta yangu huko kwa OBAMA.
Hongera sana
Angel
hongera Pascal!
ReplyDeleteMtumie Pelle picha aone watu aliokuwa wanamchumia matunda leo hii ni wanataaluma..... maisha ni hatua
Mdau wa Stockholm
incredible brother!! i salute you my dear jus keep it up
ReplyDeleteHongera sana mzee sasa utarudi lini tena Huku Korea, Itaewon wanakuulizia au ndo bongo moja kwa moja? ,
ReplyDelete