Home
Unlabelled
miaka minne ya JK madarakani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
miaka hii 4 imechukua sura mchanganyiko, zikiwemo initiative nyingi nzuri pamoja na mambo MABAYA hasa yale yanayohusu mambo ya FEDHA.
ReplyDeletekaribia matatizo mengi yanayohusisha maswala ya fedha ushughulikiwaje wake umekuwa ni hafifu sana na wakati mwingine hata hautoi majibu ya ni kitu gani hasa kinaendele,hili ni kuanzia madai ya MISHAHARA YA BAADHI YA WATUMISHI na FEDHA ZA MIKOPO YA WANAVYUO NDANI NA NJE YA NCHI.
sehemu hizi mbili zimeonyesha udhaifu wa hali ya juu,iliwemo na ile ya ushughulikiwaji wa mafisadi ambalo serikali inadai inatafuta ushahidi wa kutosha. je na swala la mishara ya waalimu na fedha za stipend pia ushahidi unatafutwa???
hapa shida sio kikwete ila wale wanaoshika kalamu maofisini walio chini ya hii himaya.
NCHI HII HAITAENDELEA KAMA UMMA NA SERIKALI YENYEWE HAIJATAMBUA NAMNA YA KUUTUMIA WAKATI VYEMA. yaani kutenda jambo sahihi kwa muda unaostahili na kwa wakati unaostahili,maana hapo ndipo kutathibitika kauli msingi ya maendeleo popote duniani ya TIME IS MONEY!!!
mungu ibariki tanzania na watu wake,wakwamisha maendeleo ya wengine na ya nchi kwa ujumla na walaaniwe popote walipo na wasifurahie matunda ya udhalimu wao,laana iwafuate mchana na usiku waingiapo na watokako hadi watambue kuwa cheo ni dhamana,nikuwa mdogo na kuwatumikia wengine na sio kufuga matumbo na kujikweza na kuwa kiziwi wa matatizo ya wananchi.
INCHI ITAJENGWA NA WENYE MOYO SAFI na sio na WALAFI NA WENYE UCHU WANAOTUMIA UDHAIFU WA WENGINE KUJINUFAISHA BINAFSI.
Hakuna alichokifanya .....ahadi kibao utekelezaje wake 0. kura kwa upinzani mwaka 2010.
ReplyDeletekaka pamoja na kwamba kila nikiweka comment usiyoipenda huitoi, lakini sintachoka kusema, na sasa katika post hii napenda kusema kuwa huyu bwana ndio kiongozi MBOVU kuliko wote waliowahi kutokea tanzania na pengine hata katika wote watakafuatia. ni hilo tu lichimbie ukipenda litoe. comments watoe watu wengine kuogopa uogope wewe inakuwaje
ReplyDeletekwa hakika nchi yetu inapitia wakati mgumu sasa, nafikiri labda kizazi kijacho maana cha sasa kimeshindwa! Tatizo la msingi si kikwete! Maendeleo ni sera na mipangilio! Tuangalie tupokijikwaa siyo tulipoangukia.Tatizo lilianza pale serikali ilipojichaganya na kudanganywa kuwa haihitaji kuendesha kampuni na zilizopo ni kubwa hivyo zigawanywe na kuuzwa kidogo kidogo ili zibakie ndogondogo ili ziwape muda wageni wa kuja kulikamata soko letu! Matokeo yake ni kuwa gharama ya kila kitu inakuwa juu (cost per unit), hakuna ile kitu inaitwa 'economies of scale' na matoke yake Serikali haiwezi kuthibiti mfumko wa bei au (inflation. Kwa bahati mbaya sana viongozi wetu wamesoma, wamefika nchi mbalimbali, ni Tanzania pekee yenye mfumo wa namna ile! Ninachoshangaa ni kwa nini hawaoni kuwa wamekumbatia sera mbovu zisizoweza kutupeleka popote.
ReplyDelete