Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume(katikati)akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa masuala ya Umeme wa Kampuni ya EHL ya nchini Afrika ya Kusini,Martin Burls, (aliyenyoosha mkono),wakati alipotembelea Kituo cha kupokea Umeme cha Fumba leo.Zanzibar haina umeme kwa takribani wiki tatu sasa baada ya chombo katika kituo hicho kulipuka.Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar

Zanzibar ktk karne ya ishirini na moja! Inakosa umeme nchi nzima na hakuna back up ya aina yoyote; kiza kila upande!!! na bado inajinasibu nchi? Kazi kweli kweli!!!
ReplyDeletenilikuwa sijui kama zanzibar wanategemea umeme wa bara
ReplyDeletewhat???ipo kazi jamani
ReplyDeleteJamani hii inatia simanzi. Zanzibar yetu basi hata vijenereta vya umeme katika sehemu nyeti za mji mkongwe tunashindwa! Au ndiyo tunangoja wafadhili waje tena kutugaia misaada? Aibu hii.
ReplyDeletejamani mbona haibu serikali ya zanzibar kukicha inaleta wasomi nje mbona sioni ubunifu wao.Solutions mbona nyingi tu SOLAR,WIND MILL n.k
ReplyDeleteM ndio hapo nachoka naviongozi wetu kwann tunang'ang'ania vitu vya zamani vilishachoka hivyo AAAH!Ibane na hiyo kaka michuzi lkn ndio ukweli wenyewe.
mtamkumbuka commandor mwaka, enzi zake, saa hizi keshakopa generator siku nyingi, taarabu kama kawa bwawani!!!
ReplyDeletealafu mnataka kuvunja muungano mlivyokuwa na vichwa vibovu, think twice!
ReplyDelete