Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Pius Kisambake (kulia) akichuana na beki wa Sofapaka ya Kenya, Ochieng Edgar katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya 'Tusker Cup' kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, jana. Sofapaka ilishinda 3-1.
Lwiza mbuttu akiongoza mashambulizi wakati Twanga Pepeta ilipotoa burudani katika ufunguzi wa michuano ya kombe la tusker leo neshno ya zamani
shamrashamra ya ufunguzi wa michuano ya kombe la tusker
Mabingwa wa Kenya, Sopfapaka
Mabingwa watetezi kombe la Tusker, Mtibwa Sugar






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. rafiki ya Mwinyijuma MuuminiDecember 16, 2009

    Luiza ndiye alistahili kupata TUZO MAALUMU YA MSANII BORA maana kweli anajituma sana katika kazi yake na kwa muda mrefu bila kuwa na skandari wala kuvaa mavazi tatanishi jukwaani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...