MK Music Galaxy inapenda kuwatakia wasikilizaji wake Noeli njema na heri ya Mwaka Mpya.

Si vibaya mkiendelea kufurahia na kusheherekea sikukuu hizi kwa kutembelea website yenu muipendayo na kusikiliza ngoma mbali mbali kali na nzito toka Tanzania ili uburudishe na ukonge roho yako kwa idadi ya miziki zaidi ya 1000+

Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.

Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000


1:


2:


3:


4:


5:


6:


Ukipata habari hii mtumie Rafiki Yako.
Sambaza habari hii, Tangaza Mziki wa Tanzania.

Daima tupo Pamoja!

MK Music Galaxy
Exploring The Tanzanian Music.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kazi nzuri sana mk music galaxy,maoni yangu ni kwa wanamziki wetu wa kizazi kipya,nimesikiliza nyimbo ya kwanza sijajua title ya nyimbo ila inazungumzia kufa,sina shida na ujumbe ni bomba tatizo langu ni moja tu kwa hawa wanamziki wajifunze sana kutamka maneno kama ipasavyo sio kwenye r wanaweka l inapoteza kabisa maana ya neno na ladha pia,huwezi usema L.I.P badala ya R.I.P,please jamani wabongo flava msituangushe.

    ReplyDelete
  2. Kuna mchizi mmoja kwenye singo la 2, ana piga mistari huyo! alafu anakupa dear mama! kama mzee pac vile!

    Respect.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...