Home
Unlabelled
mustafa hassanali shines in india
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CONGRATS Mustafa Hassanal,inatupa hope sana kwa sisi kizazi kipya kuwa future ya Tanzania inajengwa kwa juhudi zetu sisi wenyewe,tuachane kutegemea serikali yenye watu wa maneno mengi vitendo vichache.
ReplyDeleteBig up Bro,pasua na chafua anga za nje
Mnaona sasa mavuno ya kuishi nchi za nje? Unazania huyu angeanzia kazi yake india angefika hapo alipo?
ReplyDeleteMnasema turudi nyumbani....huyu muhindi anachumia TZ anakwenda kula na wakwao India. Na siye ndio hivyo hivyo tunachuma juani twaja kula na wakwetu.
Kusma kila siku turudi nyumbani, turudi nyumbani mngekaa kwanza na kuangalia faida za wageni na wahamiaji hapo Tanzania kabla hamjafungua midomo..
Congratulations kwa kufanikisha show yako na kupunguza unene. You look 10 yrs younger
This is just soooo beatiful,keep it
ReplyDeleteup, Tanzania fashion is fabulous,I
also saw the SmartAfrika, very nice
I'm proud of my country & my people
tunaendelea sawa
"I'm proud of my country & my people"!Anonymous hapo juu nani kakwambia huyu M.Hassanali akikaa na wewe(kama ni mzawa)atakuona mwenziwe kiasili?Yeye anaona Bongo kama waBongo wengi wanavyokuona Ughaibuni.
ReplyDeleteSafi sana, inapendeza kuona hata zile shanga wanazotengeza wamasai zinavaliwa na models kwenye international fashion shows. Keep up the good work Mustafa.
ReplyDeleteExcellent.
ReplyDeleteCongratulations and keep up the good work!!!
we mustapha acha kuwa mbinafsi,wape dawa uliyoitumia madada zako wa kihindi ili nao wapungue au huwaonagi matubo yao yanavyo ning'inia? ila umependeza sana
ReplyDelete