DIWANI wa Kata ya Melela, Wilaya ya Mvomero, Christopher Maarifa ( kushoto) akipokea saruji kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Tanzania Bara, Beno Malisa ( kulia) , jumla ya mifuko 80 na mabati 80 imetolewa na Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa , Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama hicho Taifa na Kamati Kuu , Amos Makalla , ikiwa ni msaada wa kusaidia ujenzi wa madarasa ya Sekondari Melela
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa Baraza kuu la Taifa la Umoja huo, Ridhiwani Kikwete ( kulia) akielezea jambo kabla ya kusimikwa kwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ( UVCCM) Wilaya ya Mvomero, Amos Makalla, ( kushoto) ambaye ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe Halmashauri Kuu ya Chama hicho na Kamati Kuu , katika hafla iliyofanyika Kata ya Melela
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ( UVCCM) Taifa kutoka Tanzania Bara, Beno Malisa ( kushoto) akimvisha joho la Ukamanda wa Vijana wa Wilaya ya Mvomero , Amos Makalla ( kulia) katika sherehe iliyofanyika juzi Kata ya Melela , Wilayani humo, Makalla ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama hicho Taifa na Kamati Kuu. Picha na mdau John Nditi














Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kila la kheri Amos makala naona Harakati ni nzuri na nina imani zitazaa matunda tu!!!

    ReplyDelete
  2. MZEE KUPUNGUZA KULA OVYO ILI UWE NA AFYA NZURI MAANA MWILI HUU NI HATARI.

    ReplyDelete
  3. Hongera Amos. Wakati umefika kwa Mvomero kuwa na Mbunge mpya naye ni Ammoosss Makaaala!!!!!! Nakutakia heri na utapata tu. Siddque akaendeshe bishara zake. Hatutoshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...