Dear Michuzi,
Wishing you a Happy and Prosperous New Year 2010 and remembering those who could not make it thru.
Naomba wawekee wadau wa Globu ya Jamii hii picha ya Baraza la kwanza la Mawaziri wa Tanganyika mnamo mwaka 1961. Inaonyesha kabisa kwamba Mzee Kawawa ndiye aliyekuwa peke yake amebaki kati ya waasisi hao.
RIP Sima wa Vita Mzee Rashidi Mfaume Kawawa.

Sisi tulikupenda lakini Mola kakupenda zaid - Amin
Mdau SM
Thanks and Merry Christmas to you as well. I found you via Jamati.com
ReplyDeleteNamwona Mzee Tewa Saidi Tewa hapo je na yeye alishafariki?
ReplyDeleteAsante kwa kutukumbusha lakini nafikili siyo Simba wa vita aliyekuwa amebaki lakini bado yupo Sir George K na Jobb Lusinde
ReplyDeleteahsante mdau kwa picha nzuri ya kumbukumbu kuna uwezekano wa kuwatambua wote kwa majina pls
ReplyDeleteAkhante mdau kwa kumbukumbu hiyo nadhani kwa uchache nawaona.RIP ,r.kawawa,amil jamal, j.nyerere,o.kambona ,p.bomani,a.fundikira,g.kaham.b.mnanka,j.lusinde,e bryson nadhani kwa kumbukumbu yangu ni hivyo kama kuna niliposahau tafadhali rekebisha.
ReplyDelete