Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Mamlaka ya Ufundi Stadi ( VETA), Profesa Idrissa Mshoro ( watatu kutoka kushoto) akiandika baadhi ya dondoo kutoka katika risala ya wahitimu stashahada na vyeti , iliyokuwa inasomwa na Malkizedeck Mlyapafali ( hayupo pichani) wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo hicho yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Morogoro
Baadhi ya wahitimu wa ualimu wa ufundi stadi ngazi ya stashahada na cheti wa Chuo cha Ualimu wa Ufundi stadi ( MVTTC) akisubili kutunukiwa Stashahada na Vyeti vyao wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo hicho yaliyofanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro , ambapo wahitimu wa ngazi ya Stashahada ya ualimu wa ufundi stadi ni wa mara ya kwanza. ( Picha na John Nditi).


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hii ni aibu kuona kila mtu anayehitimu masomo yoyote anavalishwa joho, mnazaraurisha degree zetu.Kuna level ya elimu ya kuvaa joho jamani.
    madau

    ReplyDelete
  2. kwa hii hali tuliyofikia sasa, mimi nadhani hata tutoto tunakozaliwa leo, tuvalishwe joho....

    Nyokoinyo

    ReplyDelete
  3. IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE....TRY IGNORANCE......haijalishi kuhusu uhaba wa ajira....ila inapendeza kuona nchi inamwaga wasomi kwa mamia kila mwaka........

    ReplyDelete
  4. john nditi tunaomba turushie picha ya mzee mlyapatali!

    kuvishwa joho sio kitu cha kuumiza kichwa kwani kinacho matter ni kichwani!

    elimu uliona ionyeshe kwa vitendo kujitofautisha!

    mbona ma--engineer na madaktari wana mavazi ya kawaida lakini jamii inawaheshimu kwa jinsi yanavyofanya mambo makuu.

    gonna are those days..wakati mafundi mchundo walikuwa wanajulikana kwa mavazi yao hafifu!
    au waandishi wa habari walikuwa wa ovyo ovyo kabisa..
    au..madereva wa tex..usiseme!

    lakini leo..
    AKILI kumchwa...
    ni kujichakalisha!

    ReplyDelete
  5. Joho lisisumbue naungana na aliesema akili kichwani na kuonyesha ujuzi kwa vitendo hio ndio hadhi ya elimu ya juu.... watavaa majoho kila kona lakini kama ujuzi mdogo itabidi waendelee mpaka watakapo lifikia joho halisia.... Hakuna "shortcut" za mwonekano wa nje(joho pekee halina maana kuwa ndio umepata elimu ya juu)

    ReplyDelete
  6. Kama mawazo ni hayo kuhusu majoho ingekuwa vema kwa wale wazazi mkiitwa kwenye mkutano wa wazazi kutoa hayo maoni na shuleni pia. Utakuta mtu anatoa comment nzuri humu kesho mtoto wake anamaliza chekechea anaongoza kwenda kumshonea "kajoho" sasa hali haiwezi kubadilika kwa jinsi hio.

    ReplyDelete
  7. heeeeeeeeeeeeeee mafundi mchundo nao???hahahaaaa
    kweli nchi haina sheria na inaongozwa na kila mwenye kichwa kinamtuma duh

    hii ya leo kali dah!!!ata hawa????

    ReplyDelete
  8. Anon wa Tue Dec 08, 10:00:00 AM, we jamaa huna fikra.

    Yaani chekechea wavae magauni halafu unastaajabu Diploma? Walimu wao!

    Ni hakili hiyo? Kama ni mtihani, si umeshaufeli huo?

    ReplyDelete
  9. an ktk post zoooote sijaona post hata moja yenye akili wengi wengi wenu mnataka kujfanya ndo wasomi peke yenu.....kwanza sidhani kama kuna hata mmoja wenu anayeelewa maana ya joho..mm bnafsi sioni ubaya kwa mtu kuvkwa joho kwa elimu alyofkia kwa akili zenu mnaona joho ni kwa ajli ya vyuo vkuu peke ake...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...