MZEE STEPHEN AUSTIN NALITOLELA
Dakika, saa, siku na miezi imepita;
hatimaye miaka miwili imetimia tangu mpendwa wetu utotoke tarehe 6/12/2007.
Unakumbukwa na mkeo, wanao, wajukuu na vijukuu.
Ulikuwa kiongozi wetu, mwalimu wetu na mwanga wa maisha yetu, na siku zote tunakukumbuka. Tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi.
Tunakaa na kujifariji, kwa kuwa tunatumaini uko mahala pema zaidi.
Ustarehe katika amani mpendwa wetu
Mwalimu Stephen Austin Nalitolela.
-familia ya Nalitolela
-familia ya Nalitolela


Shukrani kwa kuitundika habari hewani Anko.
ReplyDeleteRIP Grandpa!
poleni wafiwa alale pema babayetu mpendwa.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa.
ReplyDeleteKazi ya Mungu haina makosa.
mzee nalitolela huyu ndo yule aliyewahi kufanya kazi cct? mzee wangu alifanya hapo
ReplyDeleteahsanteni nyote. Ndio, marehemu babu alikuwa CCT
ReplyDelete