KLABU YA MAVETERANI WA MPIRA WA KIKAPU (OLD GUARDS BASKETBALL CLUB) AMBAYO INACHEZA KILA JUMAPILI KATIKA VIWANJA VYA OCEAN ROAD, WATAFANYA BONANZA LAO LA KUFUNGA MWAKA 2009 NA KUSHEHEREKEA KUTIMIZA MIAKA KUMI NA MOJA TANGU KUANZISHWA KWAKE.
BONANZA HILO LITAFANYIKA TAREHE 6 DESEMBA 2009 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI HADI KUMI NA MBILI JIONI. TIMU MBALI ZA MAVETERANI TOKA CHANGOMBE, PAZI, OILERS, VIJANA, DON BOSCO ZIMEALIKWA

PIA TIMU ZA MAKAMPUNI YA VODACOM, ZAIN, ZANTEL, BARRICK, CRDB, BARCLAYS, CLUODS FM, TBL, STANDARD CHARTERED, PWC, NMB, PEPSI NA NYINGINEZO NAZO ZINATEGEMEWA KUSHIRIKI BONANZA HILO AMABALO LIMEDHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA

PAMOJA NA KUCHEZA MPIRA WA KIKAPU PIA TIMU ZOTE ZITAPATIWA CHAKULA CHA MCHANA NA VINYWAJI BARIDI, KUTAKUWA PIA NA SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO NA OLD GUARDS SIKU HIYO WATATOA MSAADA KWA KITUO KIMOJA CHA KULELEA WATOTO YATIMA HAPO HAPO UWANJANI

TUNWAKARIBISHA WOTE KUSHIRIKI NASI


ANGELA DAMAS
KATIBU MKUU OLD GUARDS VETERANS CLUB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...