Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd,inayochapisha gazeti la Jambo Leo na jarida la Jambo Brand Tanzania, wakitakiana heri wakati wa hafla ya kumpongeza Mpiga Picha Mkuu wa gazeti hili, Richard Mwaikenda baada ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kumtunukia tuzo ya Mpiga Picha Bora 2009 jumamosi iliyopita.Hafla ya kumpongeza ilifanyika kwenye chumba cha habari cha Jambo Leo jijini Dar leo Picha na Kassim Mbarouk.

gazeti hili lichukue watalaam wanaojua kazi kama linataka kufika mbali.kuna tatizo la menejimenti kwenye hili gazeti wajifunze umakini wa Mwananchi na Tanzania Daima.
ReplyDeleteSorry, gazeti hili! Lipi?
ReplyDeleteGazeti la Jambo Leo.linahitaji kusaidiwa kwenye menejiment.
ReplyDelete