Home
Unlabelled
richard mwaikenda paparazi bora 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana ndugu yangu Jerry Muro, kwa kweli you deserved for that award. LAkini Tatizo langu na MCT na watoa tuzo wengine ni pale wanapotaka watu wapeleke kazi ili zishindanishwe, badala ya wao MCT kufuatilia kazi za waandishi wa habari na kutafuta mshindi. Kwa mtindo wanaofanya sasa, wanatoa nafasi kwa Opportunists kutengenza habari na vipindi ili wapate award wakati uhalisia wao wa kazi haupo hivyo. Kwa mawazo yangu hii haisadii lengo la kuhimiza uandikaji wa habari za Uchunguzi kwa uendelevu.
ReplyDeleteWazo la MCT kutoa award ni bomba sana but unfortunately it is wrongly handled. MCT wawe na timu yao inayochambua kazi za media na sio kusubiri entries kutoka kwa contestants
ReplyDeleteMCT mbona mliacha social media kama blogs kama hii ya jamii?? Where is your objectivity???????????
ReplyDeleteHivi kuna mtu amefanya kazi ya uandishi bora hivi majuzi kama Vicky Ntetema wa BBC aliyeandika jinsi mauaji ya albino yanavyoendeshwa? Sasa ni kwa nini hajaewa award? Au simply kwa sababu kazi yake hakui-submit? MCT acheni usanii. Give credit where it is due.
ReplyDeleteKuna columnists bomba sana nchi hii kama vile Jenerali Ulimwengu, Johnson Mbwambo, Anselm Ngurumo na Ayoub Rioba. Mbona na wao hawakufikiriwa na MCT? Au na wao ilibidi wa-submit kazi zao?? MCT amkeni kwa hili
ReplyDeleteKuna waandishi wa habari za uchunguzi kama Mbaraka Islam, Charles Kizigha na wao walistahili recognition. Je ni lazima wawasilishe kazi zao??
ReplyDeleteKuna watangazaji wazuri wa mpira kama Juma Nkamia, Maulid Kitenge na wengine. Hivi na wao walipaswa waambie MCT wanachokifanya ili wapewe awards?
ReplyDeleteKuna sources wa habari wazuri kama vile Askofu Methodius Kilaini wanaokuwa available kwa journalists every time. Hivi na hawa ilibidi wawasilishe majina yao MCT??
ReplyDeleteKuna vyombo vya habari vinavyoendeshwa very professionally kuliko vingine. Je navyo ilibidi vitoe majina yao MCT???
ReplyDeleteShule za uandishi za mfano je? Kwa nini zisizawadiwe na MCT kwa kuwa mfano bora zaidi???
ReplyDeleteMwalimu mzuri katika sekta ya habari je? MCT Hawakumwona?
ReplyDelete