mdau wa ho chi minh city huko vietnam anatuma salamu za msimu kwa taswira hizi zinazoonesha maandalizi ya huko tayari kwa xmas na mwaka mpya. kwa picha zaidi hizo na zingine za mdau wa vietnam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dada nimemtembelea kwenye flickr page yake, yuko safi sana katika mambo ya collections of photos. Kwa hakika anastahili tuzo... Hata ukisoma maoni ya mamia ya mashabiki wake wote wanakubali kazi zake...She is a real visual artist. Nimeshawishika nami kujiunga na flickr.

    Mdau, NL.

    ReplyDelete
  2. iwe kaisiki.kazi nzuri aisee!

    ReplyDelete
  3. nimetoka hukohuko Flickr, she have wonderful works.. i spent a lot of time there... big up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...