
Kipa alikuwa - Athumani Mambosasa,
beki wa kulia, - Shabani Baraza,
wa kushoto - Mohamed Kajole,
wa kati Athumani Juma na Alloo Mwitu,
viungo Khalid Abeid, Haidari Abeid,
wing wa kushoto Abasi Dilunga,
kulia Willy Mwaijibe,
washambuliji Abdallah Kibadeni na Jumanne Hassan Masimenti
viungo Khalid Abeid, Haidari Abeid,
wing wa kushoto Abasi Dilunga,
kulia Willy Mwaijibe,
washambuliji Abdallah Kibadeni na Jumanne Hassan Masimenti
Hivi Simba iliifunga Yanga mabao hayo mwaka 1977 au mwaka 1973? Nakumbuka kama ni 1973 hebu jaribuni kuchunguza kwa makini
ReplyDeleteSimba ya zamani ilikua inakula nyama, Ya sasa hivi inakula majani naona.
ReplyDeleteNakumbuka ilikuwa 1977
ReplyDeleteMBONA UMEWASAHAU KINA HALFANI NGASA ERIKI SAGARA JOHN MAKELELE NA MOHAMEDI MWAMEJA WOTE HAO WAMEZALIWA KATI YA MIAKA YA 1973 NA 1977, SIONI LISTI YAO?
ReplyDeleteNi 1977,kwani 1973 waliifunga bao moja bila na kutwaa ubingwa wa nchi mfungaji akiwa ni Haidar Abeid"Muchacho".
ReplyDeleteWewe uliyesema Simba wa siku hizi anakula majani,Kaa ukijua Simba ni Simba tu usimuone amekaakimya ukadhani ni Kondoo,na usimuone amelala ukamchezee Sharubu.Angalia anavyowagaragaza mwaka huu kwenye hiyo ligi yao.
ReplyDeleteMwana wa Msimbazi-London
Kabada Kadinga
ReplyDeletekama umezaliwa kati ya 1973 na 1977 wakati mechi inachezwa maximum utakuwa na umri wa miaka minne, hiyo ndio sabau hawamo kwenye list, bado walikuwa wananyonya.
Kaka mbona hutaji na list ya Yanga ya Kuokoteza maana ndio wakati huo Yanga iligawanyika first eleven yote ikaondolewa. nawkumbuka wachache waliocheza siku hiyo:
ReplyDelete1.Muhidin Fadhil
2.Rajabu Tangale
3.Sefu Matege
4.Selemeni Saidi Sanga
5.Omar Jongo
6.Sam Kampambe
7.Shabani Katwila
8.Bonamax
9.Yanga Fadhil Bwanga
10.Ezekiel Grayson (Juju man)
11.Rashid Hanzuruni