Home
Unlabelled
steven gerald alipoitungua olympiakos
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mavi ya kale hayanuki kaka! Mtabakia kuangalia Mambo ya zamani, fanyeni sasa tuone basi. Mko hoi taabani mwaka huu, hope you get relegated....hahaaaa
ReplyDeleteunajifariji mithupu,mwaka huu mmefulia
ReplyDeletemwaka huu mlie tu mmefulia
ReplyDelete...I am confused. What is this for when Liverpool are dead and buried both at home and in Europe?
ReplyDeleteNaona mnajifariji kwa historia kama ilivyo kawaida yenu. Mwaka huu hamna lenu. Hata nafasi ya nne kwenye ligi mtaisikia na kuona tu kwenye news.
ReplyDeleteEuropa ligi mtapata kipigo pia.
Mzee wa Ankal nanhii...na wapenzi wa bwawa la maini najua tunapoza machungu. Basi naomba tafuta mda mtulivu halafu tazama GOLI hili. Hapa kijana alikuwa anacheza na injuries na alikuwa karibu anataka kutolewa. Ni mchanganyiko wa vyote kwenye hili goli hasira, ujuzi na kipaji kama kuna vingine nimesahau utaongezea kwenye huo muda mtulivu.
ReplyDeleteChukua link hii: http://www.youtube.com/watch?v=0ua7adsxo0Q&feature=PlayList&p=83551D486505AD5F&playnext=1&playnext_from=PL&index=45
Asante Mdau Ukerewe hapa
oooh what a moment! kuna timu hazijawi kulinusa hili kombe wanalisikia tu. Teh he heh .
ReplyDeleteMiamba watabaki kuwa miamba milele.
kama wewe ni mpenzi wa soka lazima ukubali safari ya bwawa kwenda kutwaa ubingwa ilikua tamu na ya kusisimua achilia mbali fainali yenyewe.
ReplyDeleteAnon wa 04:46:00 PM umenbsha mbali sana. Kuna magoli yanfungwa mpaka nywele za mwili zinasisimuka basi ilikuwa siku hii maana nilibaki mdomo wazi bila kuamni ninachokiona. Kwenye hii clip wadau watashindwa kuona jinsi mpira huu ulivyopigwa kiufundi na story behind it. Jinsi alivyokuwa analalamika kwa refa mara ghafla anageuka anakutana na mpira unamdondokea basi kitu kilichotoka pale ilikuwa simulizi mwezi mzima. Na lilikuwa goli la mwezi na la msimu.
ReplyDeleteMpenda soka Ughaibuni