Mkali wa hip hop asiyechuja bongo Joe Makini akiwaangushia mipini ya nguvu wakazi wa jiji la Mwanza waliofika kujipa raha kwenye tamasha la Str8Muzik Festival;Inter-college special 2009 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika fukwe ya Bahigi beach,Ilemela jijini Mwanza.
Msanii kutoka nchin Kenya Nonini akitumbuiza jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Str8Muzik Festival;Inter-college special 2009,lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika fukwe ya Bahigi beach,Ilemela jijini Mwanza.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...