mh. jane mihanji (mwenye gogoz) akiongoza mduara wa msondo ngoma
anko na wadau wa jamboLeo Juma pinto na ben kisaka
abdallah majura wa BBC akila vichwa laivu
wadau wa TSN ndani ya nyumba
wadu wa TSN juu...
msondo ngoma wakitumbuiza saa hii msasani beach club katika media day 2009
waandishi waandamizi angetille osiah (shoto) na chacha maginga 'mzee wa livapuuul' wakijiunga na wadogo zao kusakata msondo ngoma muda huu. habari na picha zinge baadaye







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi Mbona huweki Taifa stars Imetolewa? na Zanzibar imesogea mbele imetoka na timu iliowafunga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...