Meneja Mafunzo wa Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, Nyasso Gama (kulia), akikata utepe kumkabidhi Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Kurasini ya Kulelea Watoto Yatima, Margareth Mkandawile msaada wa mbuzi na vyakula mbalimbali vyenye thamani ya sh. 720,000 katika hafla iliyofanyika sambamba na kukabidhi Jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa Swissoprt. Hafla hiyo ilifanyika katika makao hayo, Dar
Watoto Yatima wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Kurasini, Dar es Salaam, wakiimba wimbo wa kuisifia Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, kwa kukabidhi jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo. Hafla ya kukabidhi jengo hilo ilifanyika katika Makao hao jana.

Meneja Mafunzo wa Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, Nyasso Gama (kulia) akimkabidhi Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Kurasini ya Kulelea Watoto Yatima, Margareth Mkandawile msaada wa vyakula mbalimbali
msaada wa vyakula kwa kituo hicho toka Swissport
Jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa Swissoprt, ambalo lina vyumba viwili vya madarasa, Ofisi ya waalimu na vyoo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongereni Swissport kwa kuwajali watoto wetu na kutimiza wajibu wenu kwa jamii.

    ReplyDelete
  2. MILIONI 48 HILI??!!!!!!EBU JAMANI NIPENI TATHAMANI YA SHILINNGI IKOJE NISIJE NIKAWA NABWABWAJA TU KUMBE SHILINGI LAKI1 NI SAWA NA USD 1....HIZI HELA ZINAZOITWA SHILINGI KUMBE HAZINA THAMANI KIASI HIKI PUUUU!!!MM NIMEFUNYIZA VIHELA VYANGU MIAKA KIBAO NAPIGA HESABU NIRUDI BONGO NIJENGE NYUMBA NA BANDA LA UWANI KAMA HILI NA NINUNUE NA GARI YA KUTEMBELEA KISHA NIFUNGUE LKN PESA YNG YOOOTE HIO HAIZIDI USD 50,000...NAOMBENI MNIPATIE CURRENCY IKOJE HUKO KAMA VP NIGHAIRI NIJIKALIE ZNG TU HUKUHUKU NISIRUDI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...