Home
Unlabelled
TANZANIA DELEGATION IN RAS AL KHAIMAH (RAK) - UAE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanatangaza umaskini,ukiangalia hiyo picha ya kwanza mweshimiwa alivyo jikunja utajua tu ni nini kinachofuata/kinachoongelewa.hahahaaaaaa dah ebwana yani kiti kimekuwa cha moto
ReplyDeletehapo chini ya meza jamaa ameweka hand cleansers kwamba akishamaliza kushikana mikono na watu weusi basi lazima asafishe mikono yake kuua vijidudu.
ReplyDeletekwa wale wanaoumaki udini... s it fair kwa wakrstu wasee mbona viongozi wote walioenda ni waislam?
ReplyDeleteSIJAWAHI KUONA COMMENTS NEGATIVE NA ZA KIPUMBAVU KAMA HIZI TANGU NIMEJIUNGA NA KUSOMA BLOG HII YA JAMII. YAANI HAWA WATU HAWANA KAZI BALI NI KUCHOCHEA NA KUANDIKA MANENO YA CHUKI KAMA HAYA? KWA KWELI NIMESHANGAA SANA WATU WANAWEZA KUWA NA CHUKI KIASI HIKI! TAFADHALI UNCLE MICHU USIIBANE HII!
ReplyDelete