Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wanatangaza umaskini,ukiangalia hiyo picha ya kwanza mweshimiwa alivyo jikunja utajua tu ni nini kinachofuata/kinachoongelewa.hahahaaaaaa dah ebwana yani kiti kimekuwa cha moto

    ReplyDelete
  2. hapo chini ya meza jamaa ameweka hand cleansers kwamba akishamaliza kushikana mikono na watu weusi basi lazima asafishe mikono yake kuua vijidudu.

    ReplyDelete
  3. kwa wale wanaoumaki udini... s it fair kwa wakrstu wasee mbona viongozi wote walioenda ni waislam?

    ReplyDelete
  4. SIJAWAHI KUONA COMMENTS NEGATIVE NA ZA KIPUMBAVU KAMA HIZI TANGU NIMEJIUNGA NA KUSOMA BLOG HII YA JAMII. YAANI HAWA WATU HAWANA KAZI BALI NI KUCHOCHEA NA KUANDIKA MANENO YA CHUKI KAMA HAYA? KWA KWELI NIMESHANGAA SANA WATU WANAWEZA KUWA NA CHUKI KIASI HIKI! TAFADHALI UNCLE MICHU USIIBANE HII!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...