Waziri wa Nishati na Madini William Ngelleja akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uamuzi wa serikali wa kuona busara ya kurudiwa kwa zabuni ya ununuzi wa mitambo miwili ya uzalishaji umeme na kuwataka wazabuni wote waliofuzu kwenye mchujo na kuthibitika kuwa wana uwezo wawasilishe takwimu za kuwezesha kufanyika kwa tathimini ya gharama za ununuzi wa mitambo, ujenzi na uendeshaji. Zabuni hiyo inahusu Mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha Megawat 100 katika mkoa wa Dar es Salaam na Megawat 60 katika mkoa wa Mwanza.Kulia ni naibu waziri wa wizara hiyo Adam Malima.


yale yale! ufisadi ulele , watu wale wale....
ReplyDeleteaaaaaah!
ReplyDeletesasa nyie msitake kuniharibia ulaji wangu, umeme wa nini tena wakati mie nina tenda ya kusambaza vibatari na koroboi! msitake kuniletea kiwingu hapaaa! mgao sie tunaupenda tumekuwa nao miaka mingi tumezoea, sasa maneno ya nini, wivu tuu, ngoja niwarichmond upya kama mnaleta unoko hapa! nasema mgao udumu milele!
PRESIDENT JK HAS NOT NOMINATED ME TO BE THE MINISTER OF HOME AFFAIRS. KWA SABABU YEYE NI ALUMNI WA CHUO CHETU KIKUU CHA UNIVESITY YA MUZUMBE YA KULE MOLOGOLO, HAJATENDA HAKI. MIMI NASUBIRI ILE SIRIKALI MPYA YA WAKINA MICHUZI, MR. BRUE, KANUMBA NA NABII YOHANA MASHAKA YA 2015. HII ITAKUWA NI SIRIKALI YA HARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA. HAPA NDO NINA UHAKIKA WA KUPIWA MINISTRY YA HOME AFFAIRS AMBAPO KILA FISADI ATAANDIKIWA BREKFASTI YA KIBOKO KILA SIKU NDO UFISADI UKOME TANZANIA VINGINEVYO WATAKUWA WALE WALE MAFISADI, NA MAKUHANI WA UFISADI KUINGILIA MAISHA YETU NA KUTUGAWIA VIROBOI NA VIBATARI HUKU WANAKULA UMEME WA RICHMOND.KWENYE SIRIKALI YA 2015 NDO NITAWAONYESHA KWAMBA AISEE KWELI NILIKULAGA NONDOZZ KWELI KWELI
ReplyDeleteTenda irudiwe kivipi....inamaana huyo aliyepata mwanzo hafai au? kama hafai alipataje? waliotoa ni akinana nani? wako wapi? wameshapelekwa makamani au? au document zimeungua na moto, au Ngeleja anatakakusema mgawo umesababisha komputa ambayo ilikuwa na document hizi imeungua? ebo mbona haieleweki..n.k maswali ni mengi kwa kweli Huko juu kueni makini..ooohh kabla ya kurudia tenda hebu Ngeleja kata kiu yangu, maana nilipiga kura kumchagua aliyekupa kula!..
ReplyDeleteHaya ni mambo ya 10%.
ReplyDeleteAlikuwa ashinde ameshindwa 'kuzungumza na jijana' wa JK sasa anafundishwa kwamba mjini ni shule.
Tutafika tu.
(US Blogger)
hapa tu mi huawa nachoka, sasa tenda irudiwe vp?! hao wa mara kwanza hamukuwathibitisha? wee jk huo ndo ubabaishaji wenyewe, tukisema hiyo sikali ya ccm imejaa ufisadi mnakuwa wakali, na kanza kuwapa vitisho wabunge wanaojaribu kusema ukweli.. jk usidhani watu bado tuna nidhamu ya uwoga tulipewa na julius, sasa hivi wanayaona haya, na yanawauma kweli watanzania hawa. eeh mungu ucaguzi unaokuja tunaomba isiwe ya viongozi wenye uchungu na nchi na ambao waadilifu.
ReplyDeletemdau ughaibuni
HII NI DALILI NYINGINE YA KUONYESHA JINSI MAMBO YANAVYOENDESHWA KWA UBABAISHIJI BONGO.
ReplyDeleteKAMA KWELI HII TENDA ILI KUWA NA MAKOSA KWANINI WATU WAACHWE WATENDE KWANZA HALAFU NDIYO WANASEMA INA MAKOSA.
JE NI TENDA NGAPI ZENYE MAKOSA ZIMEPITISHWA BILA KURUDIWA.
HAWA WATU WALIOKUWA WANASIMAMIA HII TENDA WANAUJUZI WAKUTOSHA KATIKA HIYO KAZI, JE HAWAKUONA HILO TATIZO, SASA WAMECHUKULIWA HATUA GANI?
Tatizo ni vigumu kujua ni wakati gani hasa Viongozi wetu WANAKUWA NA NIA NZURI KWA TAIFA, vinginevyo ni asilimia kumi ili waweze pata pesa za kurudi Bungeni mwakani.
ReplyDelete