Katibu Mkuu wa Chama Cha Wafanyakazi wa Bandari Tanzania (DOWUTA) Bw. Abdalla Kibunda (kushoto) akipeana mkono wa pongezi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), Bw. Neville Bissett mara tu baada ya kutiliana saini mkataba wa ‘Hali Bora kwa Wafanyakazi’ kwenye bandari ya Dar. Mkataba huo una lengo la kuboresha maslahi ya wafanyakazi jana kwenye bandari ya Dar es salaam.
Picha na Executive Solutions
Kwa kweli sisi wafanyakazi tunashukuru maana kwa sasa ni maisha bora kwa kila mfanyakazi
ReplyDeleteNeville Bissett,well done.
ReplyDeleteceo tunashukuru kwa zawadi za kuku, well done
ReplyDelete