Home
Unlabelled
tshala muana ateka A-Taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashabiki wenyewe mbona walikuwa wachache hivyo :-(...ukumbi haujafurika kabisa huo
ReplyDeleteKama miaka 15 au zaidi kidogo iliyopita alikuja Tanzania na kutoza kiingilio cha laki moja kwa kichwa (ndiyo, Tshs. 100,000/=) - nitakula kofia yangu kama safari hii kapata hata nusu ya hizo kwa kichwa. Mliokuwepo tafadhali nijuzeni. Mwisho ni suala la wadau wenzangu, kwa nini miaka hiyo watu walikitumia pesa namna hiyo?
ReplyDeleteLazima wawe wachache kwa sababu wamewashtukia wacongo ambao wamegeuza Tanzania kama mradi wao. Huyu mama tayari ni kikongwe anakuja kuwaibia watu. Hamna lolote hapo.Ndio maana machalii wanaona hata uvivu kukaa chini.
ReplyDeleteUncle Michu,vipi mwanamama Tshala hakufanya yale mambo yetu ya wakati ule alipokuja pale Diamond Jubilee,maana bi mkubwa ni mashuhuri kwa mitindo hiyo,na hata kuna watu huenda kwenda kwenye show zake kiwa kutegemea hizo fujo nzuri zake au umeogopa kuchafua hali ya hewa?
ReplyDelete