Mambo vipi kaka?
Heri ya Krismasi na mwaka mpya

Kuna picha hizi tungependa tushee na wadau
Picha zaidi unaweza ukawapa wadau link hii

http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=664173

THANKS

NIFAHAMISHE.COM TEAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa gharama ya hilo kufuri si ni kubwa zaidi ya gharama ya kandambili zenyewe?

    ReplyDelete
  2. duuuuu ebwana hiyo picha ya kufunga ndala kwa kufuli imenikumbusha mbali sana wakati nasoma bagamoyo sec maana shule nzima ya watu 600 kulikuwa na pea za ndala zisizozidi 10 na ilikuwa hata ukisinzia unajikuta wamesha kuvua, au ukijiegesha kitandani unaweka ndala chini ya godoro na ukienda shule unafungia kwenye tranka au unafunga kwa kufuli kama hivyo..

    muhitimu kipindi cha mazengo,2003(singapore)

    ReplyDelete
  3. mbona hizo kanda mbili zilizopigwa kufuli zinaibika kirahisi tu.simple unaiba hizo wala huna haja ya kuvunja kufuli unapachua hio mikanda miwili inatoka unamuachia kufuli yake hapo wewe unarudisha mikanda kwenye natundu yale unaendelea na safari yako kama kweli unashida na kanda mbili.

    wakati unavuta mkanda ukle chini benjua kile kifundo cha duara mkanda unaachia bila kukatika na utaweza kurudisha bila tatizo lolote.

    merry christmas.

    ReplyDelete
  4. Hii picha ilipigwa Mzumbe secondary miaka ya 2000 na hilo bweni ni SR 1,bila shaka wadau wa mzumbe mnakumbuka tatizo la ndala lilivyokuwa pale skuli...

    ReplyDelete
  5. huyo anayesukuma kiti - amenikumbusha hadithi ya Abunuwasi ya mtu aliyebeba punda !!!!

    Ndio kufuli ni bei juu kuliko kanda 2, lakini pengine alikuwa nayo tayari sidhani alikwenda kunuua kwa ajili hiyo - naona alichoka kurudi nyumbani miguu mitupu !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...