Home
Unlabelled
uchaguzi wa chiupikizi morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sio mbaya kuwapa sumu mapema, ndio wapiga kura wa kesho hao, uwekezaji wa wapigakura wa baadaye
ReplyDeleteAnything to do with Kingunge Ngombale Mwiru?
ReplyDeleteNajaribu kupata picha ya huyu "Yanki" akijafikwa na Baleghe itakuwaje, ka leo kshaanza kuvaa magwanda ya namna flani hivi. Dah, huwaga sijui nawaonaje jamaa wanaovaaga magwanda ya namna hiyo na wale wanaovaaga mavazi ya Mgambo au askari wa jiji.
ReplyDeleteTHAT IS VERY DANGEROUS, STOP TOTURING KIDS, THEY NEED TO PLAY AT THAT AGE, DONT CONFUSE THEM WITH UNTHINKABLE AT THEIR TENDER AGES. HUO NI WAKATI WA KUFURAHIA UTOTO, NANI KALETA WAZO MFU HILO, KINGUNGE NINI?
ReplyDeleteJamani hebu tuwaache watoto wawe watoto. Kuanza kuwavuruga akili na mambo ya vyama kipindi hiki ni kupandikiza magonjwa tutakayokuja kuyajutia baadaye.
ReplyDeleteUnazi ulianza hivihivi Ujerumani! Unawalisha itikadi watoto wakiwa Wakubwa hawaoni haki za vyama vyengine
ReplyDeletebadala ya kujiunga na clubs za maana kama maths club, english debating club, poetry clubs, robotic clubs, wanapeleka watoto kwenye chipukizi.
ReplyDeletethese people are not serious, kama wanajua umuhimu wa grassroots za CCM, basi na Taifa Stars wangeanza kujenga talent mapema.
ReplyDeleteKama Palestina watoto WANAZALIWA NA KUFUNDISHWA KWAMBA WAYAUDI NI ADUI hata kwetu ni hivyo watazaliwa wakijua tu chama kinachotakiwa kutawala ni CCM
ReplyDeletehuu hi ututusa kabisa!
ReplyDeleteje, sheria ya kumlinda mtoto iliyopitishwa hivi majuzi na bunge la muungano inalizingatia hili au la? ni unyanyasaji wa wototo chini ya umri wa miaka 18 kuwalisha kasumba ya siasa. wanaweza kufundishwa somo la uraia shuleni na hata kuunda serikali za wanafunzi mashuleni kuwapa misingi ya kupanga mipango na kuendesha shughuli zao lakini sio kasumba ya vyama vya siasa.
ReplyDeleteJamani, hawa watoto ni wadogo sana na ni mapema sana kuanza kuwachanganya na habari za vyama.Kwa mtindo huu,watoto wanafungwa akili na kuwa na uelewa mdogo sana kuhusu vyama vingine.Waacheni umri ukifika watashiriki chaguzi nyingi za vyama,acheni kwanza wasome ili waandae maisha yao ya baadaye.
ReplyDeleteThis is wrong! Waacheni watoto wawe watoto. Chipukizi ilipaswa kuwa jambo la watoto bila kuzingatia itikadi za kisiasa. Mtoto mdogo mnaanza kumlisha mbegu za ufisadi. Huu mchezo ukome. Chipukizi inatakiwa kuwa kama skauti.
ReplyDeleteKila chama cha siasa kikianza kujipeleka shule za msingi kutafuta watoto wa kujiunga na 'chipukizi' wao watoto watapata wapi muda wa kujifunza mambo ya darasani na mengine ya kimaisha?
Asante mkuu wa libeneke kwa kuianika hii. Message sent.