Home
Unlabelled
utajaza...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jaman tiger c tiger tena,,,
ReplyDeletepole bwana kaka.
tatizo la Tiger rijali, angekuwa shoga asingeandamwa hivyo.ndiyo tatizo la culture ya kimagharibi.
ReplyDeletebinadamu hatukosi kasoro. lakini wanamfanya Tiger kama mzinzi wa kwanza.
mimi sioni tatizo lake, analeta kelele za alimsaliti mkewe ajiulize yeye hajawahi kufanya dhambi?
the Tiger will bounce back with a bang.
msistuke picha graphics hiyo imetengenezwa. mtu na helazake hawezi tiwa viraka usoni namnahiyo.,
ReplyDeletehuyu jamaa alikuwa anacheat, mke wake baada ya kugundua ndo ikawa kizazaaa.inasemekana alianza kumdunda kwa vifaa vya kuchezea gofu,jamaa baada ya kuzidiwa ndo akakimbilia kwenye gari kujiokoa, ile kuondoka kwa kasi ndo akapata mzinga baada ya kugonga water hydrant na mti jirani tu na nyumbani kwake, majirani ndo walitoa taarifa polisi.jamma tayari amekili kuwa alikuwa na uhusiano na mama huyo, na kuna mwanamke mwingine ameibuka na kudai pia ana uhusiano wa kimapenzi naye, na ameonesha mesage/voice mail ambayo Tiger alimtumia akimuomba azifute kwa vile mkewake alikuwa anamfuatilia
ReplyDeletemwatutania au nini iki??sielewi
ReplyDeleteMHHHHM! SASA NISHAJUA KITU CHA KUMTWANGIA MME WANGU, AMEKUWA NA KATABIA FULANI SIKU ZA KARIBUNI!
ReplyDeletehalafu huyu mke wa Tiger hana bahati sana , alikuwa tu anafanya kazi za housegirl kwa rafiki wa tiger ndipo walipokutana, kwa hiyo mambo ya uselebreti hayajui ndiyo maana tiger alimuaowa ila awe anakaa tu ndani na kuzaa! wakati yeye anajirusha na vimwana celebreties. mhh poleni hope mtayaongea mambo yenu vizuri for the sake of your cute kids
ReplyDeleteTIGER WOODS ANAANDAMWA KWA SUALA LA NYUMBA NDOGO. NYUMBA NDOGO NI JAMBO LA KAWAIDA SANA SIKU HIZI.
ReplyDeleteNYUMBA NDOGO NI MKE AMBAYE ANAMKIDHI BWANA ALIYEOA KWA VITU VIDOGO VIDOGO NA VIKUBWA VIKUBWA AMBAVYO HAWEZI KUVIPATA NYUMBANI.
SASA KWA VILE HUYU BWANA ANAZO IMEKUWA KELELEEE!! SIO KIHIVYO.
jamani photo shop??? sikweli duh...
ReplyDeleteJamani tu discuss mambo ya maana hii sio news tena cause kila mtu anajuwa about this crap lol,manake mmeanza kutuelezea matapishi ambayo kila news media inaonyesha.
ReplyDeleteissue jamaa alipigwa ndonga ya mdomo akiwa ndani kutokana na hizo tuhuma ikabidi atoke mkuku akaingia kwenye ndinga ile tu anatambaa yule mke wake akarusha golf club ikavunja kioo cha nyuma ndipo jamaa akageuka kuangalia kulikoni? ile tu kugeuka ndo gari ikapiga bomba la maji, ile anagonga bomba ikabidi apindishe usukani kujiokoa ndo ngoma ikaenga kugota kwenye mti...that's all
ReplyDeleteDuhh,Hakika Michuzi umetoa kali, hii naona ni changa moto ya kufungia mwaka Hongera saanna. Jamaa tulikuwa nae jana hapa home yupo fresh tuu ni stress za kibaba na urijali hana noma ASANTE MICHUZI BIGUP
ReplyDeleteNI KWELI ALIPATA AJALI LAKINI HIYO PICHA SIYO YA KWELI IMEFANYIWA MAUZA UZA.
ReplyDeletejamani mbona kama ni kweli pole yake
ReplyDeleteHaya ndiyo madhara ya watu weusi kujikataa na kuanza kujikimbia. Mpaka mke pia unapewa na "marafiki" wa kizungu.
ReplyDeleteWhich song springs into my mind?
running and you running and you running away....., but you can't run away from yourself - Nesta
mwanaume akiwa na pesa mwanamke inabidi utulie ndani, kila kitu si kipo? sasa unafikiri atafanyia nini hela zilizozidi? wanawake wengine kama hwana akili vile, wanaume masikini wenyewe wanakwenda mbio nje sembuse mwenye hela, ebo!
ReplyDeleteBREAKING NEWS....!
ReplyDeletekwa habari tulizozipata kwenye rediyo mbao ni kwamba muke wa tiger amepata habari ambazo sinzuri vile ati tiger wake amefumaniwa akiongea mapenzi na jibaba moja la las vegas limetokea arabuni. sasa muke ya tiger akaona alaaaa tobaaa makubwa mapana yana nafuu tiger wangu anaopolewa na jibaba la arabuni siitakuwa shughuri nzito? sasa kaona amchape bakora kwanza, sasa tiger yuko mahututi nasikia huko malekani kwenye dispensari moja anapata matibabu ya hapa na pale.
Tiger kweli kaenda nje si msamaha kaomba basi tu kuwaangusha watu weusi na Tiger wacha ya mkute sianajifanya si mtu mweusi? Mbona hawaongelei Mke kumpiga Mume? Ubaguzi tu wanataka anyanganywe mikataba. Kimaro.
ReplyDeleteingawa naweza kukubaliana na mdau wa Fri Dec 04, 03:41:00 PM,kuhusu madhara ya watu weusi, lakini nashindwa kumhesabu tiger kama mtu mweusi kwa mimi ni chotari (mixed race).
ReplyDeletewewe mdau wa Fri Dec 04, 01:11:00 PM ulijifanya unaijua historia ya mke wa tiger tunajuwa ulizozipata taarifa hizi, ni taarifa za jana na juzi, lakini kama kweli ni mpenzi wa golf na mshabiki wa tiger basi ungelijuwa zaidi kuwa mbali ya kuwa au pair alikuwa anajishuhulisha na mambo mengine. wacheni kurukia mambo tu na kutaka kutangaza mambo kivyenu vyenu tu.
ReplyDeleteWanaume wote ni waongo na wanafik kabisa. Ni bora wanawake tuendelee kuwakamua wakati wana pesa na kuwakimbia wakichacha. Hawafaiiii...
ReplyDeleteMAMBO YA NYUMBA NDOGO NI YA KAWAIDA TU MBONA JAMANI, HATA WEWE UNAYO
ReplyDeleteHalafu Tiger kafanya kweli ...Wameshafika wanawake wanne sasa wamesema walikua na affair naye...na wanawake wawili wamesha lawyer up..hapo ni mahela tu yanatafutwa....lakini mke wake naye sio mjinga...pamoja na kumbamiza...ameshaita lawyer wake wanabadili prenap na anapewa million tano juu...na miaka inapunguzwa badala ya kumi inakua saba tu na ameshakaa na Tiger miaka mitano so itabakia miwili...akiondoka wanagawana hela sawa.....Usicheze na waSwedish....Nyie wanaume wakitanzania mnachezea wanawake, vibanda hasara kibao na bado mwanamke akisikia kitu anakaa kimya tu. Huku ukisema I do tu na pochi lako lina do
ReplyDeleteHakuna chochote, Tigger alikua mshamba tuu amabye anapenda kuwa mzungu, kwanza hajitambui kama black , yeye ana dai ni mixed.
ReplyDeleteHuyu jamaa alikua anapenda awe mzungu alikua hapendi uafrica, kutokana na ulimbukeni wake, alipo pata pesa tuu aka daka mtoto wa kizungu , sababu ndio anawaona bora.
Mtoto wa kizungu mwenywe kwakua ni blonde tuu, alimchukua haraka toka kwenye kazi yake ya U hausgeli, (hata mseme sijui Au pair mtajiju , ni hausgel tuu) na kumuoa haraka akiwa na umri mdogo .
Tiger hana class yeyote , kazi yake ni ku kamata cheap azz white girls , kama hao mademu anao cheat nao wote ni ma bar maid tuu , hala lolote huyu sio mwafrica na akome kujiita mwafirca ..nyambafu
Kwanza ndio maana limeoa bila ya prenup , hapo dada wakizungu ata komba half ya hela zake zote, ,
Hongereni dada wa kizungu kwa kukamata hawa shite wanna be wa Kiniga na kuwaweka mikononi na kuwatajirisha .
Jamani ehh hakuna raha kama kucheat ......
ReplyDeleteMademu wa Tiger wamefika 9 sasa....
ReplyDeletehttp://www.accesshollywood.com/news/tiger-tally-woods-alleged-mistress-count-up-to-9_article_26405