Home
Unlabelled
vikwangua anga vyazidi kuchomoza dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli vikwangua anga vinazidi kuchomoza lakini bila kuwepo ni mipango madhubiti ya kuhakikisha maji safi yanapatika itakuwa ni kichekesho kuwa na mji mzuri huku maji hayapatikani kwa uhakika.Mradi wa maji ni mradi rahisi sana lakini nashindwa kufahamu nchi ambayo imezungurukwa na maji kwa asilimia 70 tunamatatizo ya maji.Nashindwa kuelewa kama tunaendelea au tunarudi nyuma kipindi cha Marehemu Nyerere hakukuwa na matatizo hayo kabisa na hata maji yakikatika kuna magari maalum yalikuwa yanapita kugawa maji tena bila malipo yoyote,nakumbuka hiyo ni miaka ya 78 mpaka 80.
ReplyDeleteLeo hii hatuoni jitihada zozote za namna hiyo
Mjusi
HILO NI JENGO LA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA USHIRIKIANO NA MWEKEZAJI!
ReplyDeleteMBONA MAJENGO YENYEWE HAYAVUTII????.....
ReplyDeleteeverybody have got is opinion even kilo have got is own,sule uk
ReplyDeletena taa ni koroboi, he he he, mna mishumaa ya kutosha? kwa hiyo watengeneza koroboi biashara ime boom, he he heeeeee, uuuuwwiiiii,
ReplyDeletemimi huwa nasema kila siku tz hamna architectures hayo majengo hayana mvuto isitoshe majengo ya siku hizi hutumia steel! tuige Nairobi
ReplyDeletekwa sheria za mipango miji barabara inatakiwa kuwa imenyooka, sasa hapo naona road imejengwa kupisha nyumba na kila jengo limeelekea upande wake yaani shagarabagara na hiki ndio chanzo kikubwa cha foleni zisizo na msingi dar
ReplyDeletemfano hapo kuelekea fire ni hiyo njia moja tu na ya malik
ANON DEC 21 08:30
ReplyDeleteKAMA HUNA CHA MAANA BORA UNYAMAZE,NANI KAKWAMBIA BARABARA LAZIMA INYOOKE?YAANI WEWE HUJAONA BARABARA ZENYE BEND DUNIANI ILA HII TU??ETI UNASEMA BARABARA IMEPIDA KUPISHA JENGO,UNAJUA HII BARABARA YA LINI??ULIZA UAMBIWE,JENGO JIPYA HIO BARABARA IKO TANGU ENZI NA ENZI NA IMEBEND HIVYOHIVYO
hahaha,michuzi umenifurahisha eti barabara ya morogoro road loh!
ReplyDelete