hapa ni mtaa wa lumumba street kona ya barabara ya morogoro road ambapo mbele ya jengo hilo ni makao makuu ya umoja wa vijana
hii ni barabara ya umoja wa mataifa jengo liko kona ya kuingilia muhimbili


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ni kweli vikwangua anga vinazidi kuchomoza lakini bila kuwepo ni mipango madhubiti ya kuhakikisha maji safi yanapatika itakuwa ni kichekesho kuwa na mji mzuri huku maji hayapatikani kwa uhakika.Mradi wa maji ni mradi rahisi sana lakini nashindwa kufahamu nchi ambayo imezungurukwa na maji kwa asilimia 70 tunamatatizo ya maji.Nashindwa kuelewa kama tunaendelea au tunarudi nyuma kipindi cha Marehemu Nyerere hakukuwa na matatizo hayo kabisa na hata maji yakikatika kuna magari maalum yalikuwa yanapita kugawa maji tena bila malipo yoyote,nakumbuka hiyo ni miaka ya 78 mpaka 80.

    Leo hii hatuoni jitihada zozote za namna hiyo

    Mjusi

    ReplyDelete
  2. HILO NI JENGO LA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA USHIRIKIANO NA MWEKEZAJI!

    ReplyDelete
  3. MBONA MAJENGO YENYEWE HAYAVUTII????.....

    ReplyDelete
  4. everybody have got is opinion even kilo have got is own,sule uk

    ReplyDelete
  5. tupende mgaoDecember 21, 2009

    na taa ni koroboi, he he he, mna mishumaa ya kutosha? kwa hiyo watengeneza koroboi biashara ime boom, he he heeeeee, uuuuwwiiiii,

    ReplyDelete
  6. mimi huwa nasema kila siku tz hamna architectures hayo majengo hayana mvuto isitoshe majengo ya siku hizi hutumia steel! tuige Nairobi

    ReplyDelete
  7. kwa sheria za mipango miji barabara inatakiwa kuwa imenyooka, sasa hapo naona road imejengwa kupisha nyumba na kila jengo limeelekea upande wake yaani shagarabagara na hiki ndio chanzo kikubwa cha foleni zisizo na msingi dar

    mfano hapo kuelekea fire ni hiyo njia moja tu na ya malik

    ReplyDelete
  8. ANON DEC 21 08:30
    KAMA HUNA CHA MAANA BORA UNYAMAZE,NANI KAKWAMBIA BARABARA LAZIMA INYOOKE?YAANI WEWE HUJAONA BARABARA ZENYE BEND DUNIANI ILA HII TU??ETI UNASEMA BARABARA IMEPIDA KUPISHA JENGO,UNAJUA HII BARABARA YA LINI??ULIZA UAMBIWE,JENGO JIPYA HIO BARABARA IKO TANGU ENZI NA ENZI NA IMEBEND HIVYOHIVYO

    ReplyDelete
  9. hahaha,michuzi umenifurahisha eti barabara ya morogoro road loh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...