Naibu Waziri kiongozi na Waziri wa Habari na Michezo Ali Juma Shamhuna (kushoto)akikabidhi vifaa vya michezo kwa mwakilishi wa Katibu Mkuu wa timu ya Simba Mohamed Kajole mara baada ya kukabidhiwa na Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa kombe la Mapinduzi (katikati)Maneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Atilio Lupala
Naibu Waziri kiongozi na Waziri wa Habari na Michezo Ali Juma Shamhuna akionyesha jezi zitakazo vyaliwa kwenye kombe la Mapinduzi baada ya kukabidhiwa na Meneja udhamini wa Vodacom Tanzania Emillian Rwejuna aliyekaa kushoto.
Naibu Waziri kiongozi na Waziri wa Habari na Michezo Ali Juma Shamhuna na Katibu Mkuu wa ZFA wilaya ya mjini Nassor Salumu(kushoto)wakionyesha jezi baada ya kukabidhiwa na wadhamini wakuu wa kombe la Mapinduzi Vodacom Tanzania
Katibu Mkuu wa ZFA Wilaya ya mjini Nassor Salumu Ali(kushoto)akisaini mkataba wa udhamini wa Vodacom kwenye mashindano ya mapinduzi cup(kulia)ni Meneja udhamini wa Vodacom Tanzania Emillian Rwejuna.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii lazima ilikuwa mchana na wageni wangechelewa hadi magharibi ingebidi iwe kesho yake asubuhi hata kama ingekuwa ni Jumapili. Tunamshukuru Allah kutupatia jua na mwanga wa bure. Tumepata changamoto nyingi za kutuhimiza ku kutumia nguvu za jua kama vyanzo vya umeme ili kuondokana na balaa la Tanesco.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...