Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Oparation wa Kampuni ya SImu ya Mkononi ya Vodacom,Dana Bakker(kulia) akimkabidhi Mtoto Musa Cosmas (kushotto) Msaada wa Unga moja ya vitu vilivyotolewa Msaada na kampuni hiyo kwa kituo cha Kulelea watoto yatima na wasiojiweza cha Nyumba ya Amani na Furaha Kilichopo Mburahati jijini Dar wikiendi hii.
Pichani ni Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Vodacom iDARA ya Oparation wakimmbembeleza Mmoja wa Watoto wanaolelewa na Kituo cha Nyumba ya Amani na fUraha cha Mburahati cha kulelea watoto yatima baada ya Kampuni hiyo kutoa Msaada ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya SHARE AND CARE KWA kampuni hiyo kwa kituo hicho wikiendi hii jijini Dar
Hichi ndicho Kikundi cha Voda heroes ambacho kitakuwa kikisaidia jamii kwa wakati wowote.

Wasanii wa kikundi cha sanaa cha HaKUNA Matata wakitoa burudani wakati wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom walipokuwa wakitoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima,kwa ajili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka kupitia kampeni yake ya Share & Care




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hao VODA HEROE, they need to do something with their bodies. Wamejiacha sana! Wamejaa mno! They need to be presentable with reasonable body weights. They need to cut down eh!

    ReplyDelete
  2. The Heroes are all Africans... REAL AFRICANS.. I hope it does not bother you as they are physically fit and attending gyms... hahaha.. the Collosseum, gymkhana..Genesis and all other places the who's who go to. Shouldn't bother you as it does not bother them

    ReplyDelete
  3. Nasema hivi..hii Hakuna Matata ni mambo ya Kenya,kama hili kundi ni la waBongo ni heri libadili jina ili kudumisha umaarufu wa nchi yetu.Huko nje watu wanajua'hakuna matata' ni mambo ya Kenya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...