wakikata keki kwenye mnuso wao wa nguvu
Home
Unlabelled
william na tonga wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bill na my wife wako mmependeza kinoma. Mungu awajalie katika maisha yenu haya mapya, muwe na furaha. Don't ever take each other for granted. Hongera sana baba yeyoo.
ReplyDeleteNdugu yako uliyekuwa naye Minneapolis na Austin.
Kisali kaka hongera kwa kupata jiko. Nimefurahi sana kujua hili. Ndoa yenu iwe yenye Baraka, Amani na Furaha tele. Mungu awatangulie sana.
ReplyDeleteMsafiri
Calgary, AB
Wabeba mabox angalieni jinsi Bongo kumekucha. Harusi huku nyumbani ni bomba sana
ReplyDeleteMaharusi hongereni sana na karibuni kwenye club yetu.William hongera kwa uamuzi sahihi uliochukua.
ReplyDeleteKaka yako wa Ilboru na New York.
picha ya mwisho huyo dada mwenye miwani nimempenda sana
ReplyDeleteMaharusi hongereni na mumependeza sana.
ReplyDeletenaomba akuuliza swali, hivi kwa nini miduara siku zote hufuata utaratibu wa anti-clock wise, kwani mzunguko wa clock wise mduara haunogi?
(US Blogger)
Congrats Bill and Tonga and welcome to our sacred club! Thanks for posting your wonderful wedding photos. God bless your marriage.
ReplyDeleteYour classmate at Ilboru.
Hongera sana dada Mary.Tunawatakia kila laheri katika maisha yenu mapya ya ''kuwa mwili mmoja''.Bill take care of this natural beautiful lady.
ReplyDeleteJohnson Minja
Hongera sana Tonga, Bill umepata mke, Nimefanya kazi na Tonga for almost four years (National Media Group & IPP Media) she was my right hand, my adviser, she is Good! Bill You have got a wife Hongera
ReplyDeleteJ.T
jamani mmependezaa!i like it,hadi mmenitamanisha na mm kuolewa ila muda bado kidogo!kila la heri wanandoa.
ReplyDelete