mdau William Sarakikya na mai waifu wake Tonga
wakikata keki kwenye mnuso wao wa nguvu
maharusi wakiserebuka kwenye mnuso wao
mdau william sarakikya na mai waifu wake tonga na wapambe wao wakipata lekcha walipokuwa wanameremeta kanisa la azania front
Bill na Tonga wakila viapo vya kumeremeta

Bill na tonga na wapambe wakielekea kumeremeta

maharusi na wapambe wao wakiwasili kwenye mnuso






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Bill na my wife wako mmependeza kinoma. Mungu awajalie katika maisha yenu haya mapya, muwe na furaha. Don't ever take each other for granted. Hongera sana baba yeyoo.
    Ndugu yako uliyekuwa naye Minneapolis na Austin.

    ReplyDelete
  2. Kisali kaka hongera kwa kupata jiko. Nimefurahi sana kujua hili. Ndoa yenu iwe yenye Baraka, Amani na Furaha tele. Mungu awatangulie sana.

    Msafiri

    Calgary, AB

    ReplyDelete
  3. Wabeba mabox angalieni jinsi Bongo kumekucha. Harusi huku nyumbani ni bomba sana

    ReplyDelete
  4. Maharusi hongereni sana na karibuni kwenye club yetu.William hongera kwa uamuzi sahihi uliochukua.
    Kaka yako wa Ilboru na New York.

    ReplyDelete
  5. picha ya mwisho huyo dada mwenye miwani nimempenda sana

    ReplyDelete
  6. Maharusi hongereni na mumependeza sana.

    naomba akuuliza swali, hivi kwa nini miduara siku zote hufuata utaratibu wa anti-clock wise, kwani mzunguko wa clock wise mduara haunogi?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  7. Congrats Bill and Tonga and welcome to our sacred club! Thanks for posting your wonderful wedding photos. God bless your marriage.
    Your classmate at Ilboru.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana dada Mary.Tunawatakia kila laheri katika maisha yenu mapya ya ''kuwa mwili mmoja''.Bill take care of this natural beautiful lady.

    Johnson Minja

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Tonga, Bill umepata mke, Nimefanya kazi na Tonga for almost four years (National Media Group & IPP Media) she was my right hand, my adviser, she is Good! Bill You have got a wife Hongera

    J.T

    ReplyDelete
  10. jamani mmependezaa!i like it,hadi mmenitamanisha na mm kuolewa ila muda bado kidogo!kila la heri wanandoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...