




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RIP Simba wa vita.Tuta-miss busara na hekima zako.
ReplyDeleteBy the way-Jamani dini inasemaje juu ya wanawake kuaga mwili wa marehemu?
Wewe Tarehe Sat Jan 02, 01:28:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteNi Dini gani unayoiongelea kuhusu kuaga mwili wa marehemu?
Innalillah wainailah rajiun! sisi sote ni wa Allah nasi kwake tutarejea, kwani ni njia ya wote..
ReplyDeleteMdau 01:28 hayo ndo wanaita mambo ya kwenda na wakati! Ila nadhani kwasababu haonyeshwi mwili...na si wanawake pekee wanaokatazwa kuaga wmili ila nadhani kidini watu wote hawaruhusiwi! Kwa maoni yangu najua watu watanitoa ngeu...mie sie mwanazuoni hapa ni maoni tu!
ReplyDeleteinna lilahi waina illaihi raaajiuun,allwahuma gh'firlahum warhamhum waskinhum fil'jannah ,inshaallah tutazidi kumuombea dua mzee wetu hyu .m/mungu amsamehe dhambi zake na sisi pia atusamehe
ReplyDeleteswadaqatun jaaria ndio yapasa kumtolea il'hali hakun kingine anachoenda nacho mbele ya haki.
mdau
kila mtu anaruhusiwa kumuaga mpendwa wao kwa nini wanaume waende peke yao kwani nyie mliumbwa kwa gold??? lol ubaguzi hadi mtu akifa mbona arusini wote mnahudhuria?? kama ni kulia hata wanaume wanalia mwangalieni huyo jamaa hapo juu na ikumbukwe mwanadamu ana arusi tatu za maisha kuzaliwa kuoa or kuolewa na kufa na hizi zooote inabidi watu wote wahudhurie kikamilifu full stop!! michuzi naomba meseji hii ifike jinsi ilivyo !!! heri ya mwaka mpya
ReplyDeleteRIP simba wa vita, hakuwa na makuu kabisa mzee wetu na wala hakuwa fisadi alikuwa safi,mwadilifu na mpenda nchi. kwa nyazifa zake wala hakutaka kukimbilia kuishi oysterbay masaki alienda kuishi uraiani kwa walala hoi, tafadhalini viongozi wetu fateni nyayo za kawawa na nyerere.
ReplyDeleteufisadi utawapeleka jehanam.
namuona sheikh yahaya akitoa neno la mungu na kwa mbali naona pete la njano
ReplyDeleteMithupu!Tunaomba video!Tumsikize Yahya Hussien(Gwiji la Tajweed)ila amekosea kuwa Gwiji la Uganga na Utabiri vinapishana na fani ya Tajweed!Anyway tunaomba Video
ReplyDeletemdau hapo juu umeniacha hoi huku kwani hiyo pete ya njano ina nini?
ReplyDeleteHAKUWA MWIZI, HAKUWA NA MAJUNGU, ALIKUWA MSEMA KWELI, KAMA ATAKA KUSEMA KITU ALIKISEMA MBELE YA MUHUSIKA SI MGONGONI KWAKE, HAKUHOMOLA MAPESA YA SERIKALI, ALIWAPENDA WATU WOTE NA ALIKUWA RAFIKI WA KILA MTU HATA MASIKINI, WALALA HOI NA WASIO NA ELIMU. VIONGOZI WA SASA MUJIFUNZE TOKA KWAKE HAMNA HAJA YA KUIBA PESA ZA UJIRA WAKO ZINATOSHA. TUFANYE KAZIN KWA FAIDA YA WATU WOTE SI PEKE YENU TU.
ReplyDelete