




Ankal Salaams,
Mimi ni mdau toka moshi mjini. Naomba msaada wako kwenye blog yetu ya jamii. kuna hili gari ninauza.
namba yangu ya simu ni 0784925163,
na email yangu ni lshangali@yahoo.com.
1. Gari lenyewe ni
Chevrolet
Model - Chev
Model No. - 14HPG
Body Type - Station Wagon
Colour - Black
Class - Light Load Vehicle
(GMV 3500Kg or Less)
Manufactered - Around 1918
Gari lenyewe lipo Moshi mjini ila limetembea hapa mjini kama miezi sita tu. lilikuwa kwa tajiri mmoja wa zamani hapa moshi akawa kalifungia ndani ndio tukaenda kulichukua nyumbani kwake.
Naliuza sababu kuna gari lingine kwa
1. Gari lenyewe ni
Chevrolet
Model - Chev
Model No. - 14HPG
Body Type - Station Wagon
Colour - Black
Class - Light Load Vehicle
(GMV 3500Kg or Less)
Manufactered - Around 1918
Gari lenyewe lipo Moshi mjini ila limetembea hapa mjini kama miezi sita tu. lilikuwa kwa tajiri mmoja wa zamani hapa moshi akawa kalifungia ndani ndio tukaenda kulichukua nyumbani kwake.
Naliuza sababu kuna gari lingine kwa
mtu la kizamani pia nimelipenda nataka kulinunua.
Kuhusu bei ni maelewano...
Thanks in advance.
Lui.
Kuhusu bei ni maelewano...
Thanks in advance.
Lui.


Gari kama hii huku America ni Antique, they are expensive, all the best in getting the right price.
ReplyDeleteHii milango yake itakuwa inafungwa kwa kitasa kama cha nyumba.
ReplyDeleteHiyo gari iweke ktk webusaiti www.ebay.com dunia nzima wataiona, labda Hollywoods wakiona watakupa mshiko wa nguvu kutengeneza picha nyingine ya "Once Upon Time in America"
ReplyDeleteMdau
Robert De Uriyo
Mdau Robert De Uriyo Ushanihariibia sasa mwenyewe nimetoka Ubungo sasa hivi kukata Ticktey ya Bus la Kwendea Moshi alafu wewe tena unampa Wazo zuri la kuweka Picha Ebay? ah anyway kila mtu na Bahati yake weka Ebay.com. Pazi.
ReplyDeleteMHESHIMIWA IKIWA UMEWEZA KUWEKA PICHA NZURI INAYOVUTIA YA KILA UPANDE INGEPENDEZA SANA UNGEWEKA PAMOJA NA BEI YAKE ILI ATEKAYECHUKUA HIYO CLASSIC CAR AJUE USAFIRISHAJI UTAMGHARIMU VIPI UMPUNGUZIE MTIHANI WA KUPIGA SIMU.NENDA NA WAKATI-
ReplyDeleteKAKA HAYO NI MATATIZO KAA NAYO MWENYEWE IZIKE NA MWENYE NAYO FULL STOP.
ReplyDeleteOK, gari ni zuri hasa kwa wale wenye nia ya kuanzisha kampuni za mazishi.
ReplyDeleteHuu si mwaka wa uchaguzi, unaweza kununua halafu ukalitumia kwenye kampeni kwa sababu lenyewe jinsi lilivyo tayari ni crowd puller.
ReplyDeleteAntique hiyo
ReplyDeleteIli gari hiyo iwe Antique inabidi iwe na Original parts .
ReplyDeletekama imewahi kubadilishia viti au kitasa au modification ya aina fulani,inatoa thamani yake.
Fanya utafiti,upate unachostahili.
kwa africa magari kama haya hayana thamani.Mtu ukiwa nalo wananchi lazima waseme kwamba umefulia. ma nchi ya mbele kwenye watu walio rithika magari kama haya wana yanunua kama mapambo. Mbongo anataka kuendesha baluni bana si magari ya vilema .
ReplyDeletetarehe ya kwenye picha inaweza kuonyesha ni jinsi gani info inaweza kutafsiriwa vibaya.
ReplyDeleteBro, Utafiti wangu wa haraka unaonesha kuwa model hiyo ni ya 1930's au 1940's. Najua kuwa Nairobi kuna na watu wananunua magari ya antique na kuyakarabati kwa spare parts original lakini bei zao za kitapeli. Bora uitangaze kimataifa.
ReplyDeleteKwa mbeba box hii ni a ticking bomb lakini kwa fisadi hii car ni a keeper...very nice car lakini kama original things havijaguswa....manake kwa gari ya weekend au kwenye shughuli maarufu this is a car....
ReplyDeletelakini hii neno bei ni maelewano....kwanini watu lakini mwapenda hii msemo. kwa vile vitu vingi ni vya kurithishwa hivyo hamjui thamani ya vitu vyenu au mnapenda kwenda na demand and supply...huu ni ulimwengu wa transparency...nyie kalieni kuficha ficha tu...mnakosa wateja...
Du si bora ninunue bajaj siku hizi zina ac, kuliko hilo Antique lako. Kawape makumbusho ya taifa...
ReplyDeleteA A A A U.S.A.... safisha/osha matairi (DAWA MAALUM), carpet ipo poa sio ? una original title na vitu vyake original vingine gharamia kidogo tu mambo ya ndani BEI YAKE KWA MUNUNUZI MBAHILI NI KUANZIA $50,000.00
ReplyDeleteRevenge of Al Capone or Public Enemy No 1 with Tommy Machine Gun Maaannn we canmake a classic movie
ReplyDeleteGari hii Jay Leno akiiona atainunua kwa zaidi ya $80,000.00 Elfu themanini, Ni kwamba wabongo hatujui tu hiyo ni gari ya nguvu na matajiri wa marekani wakiiona watataka kuinunua kama ina origina parts kama wadau waliotangulia itabidi uiweke kwenye Ebay utapata hela nzuri sana. Tupe bei kisha tutakupa mawazo.
ReplyDeleteNitakupigia simu mdau tuongee.
Good luck.
Lakini hiyo gari ni nzuri sana.
Mdau wa Damu USA
Gari hii ni aina ya CHEVY PANEL 1950`s its depends on how original the car is you are looking at btn $9000-$15000 from original seats to door handles.You might want to try placing an AD on ebay or craigslist africa sana South Africa. Anyways the car looks very clean from the pics Goodluck selling it, hope you get the good value out of it.
ReplyDeletecheck out the 2010 chevy panel.
http://www.chevrolet-carz.com/wp-content/uploads/2009/12/2010-Chevrolet-HHR-Panel-Pics-300x186.jpg
mdau USA.
nice gari but definitely not from 1918! Rather 1948! Its value depends on the technical condition. If it was always maintained properly then it could easily fetch 50'000 USD or more.
ReplyDeletecheers
1948 chev kali lakini wameharibu kutoboa madirisha hilo kosa mnunuzi anaejua atashusha thamani kwa hilo
ReplyDeleteGari ni zuri ila WESE(mafuta)vipi? isije ikawa inabugia kama ngamia. Maana sisi tunaoishi Kitunda kamwe hatutaliweza.
ReplyDeleteMdau kuna web ya bure ambayo unaweza kuweka matangazo yako ya kuuza au kuhitaji kununua angalia http://www.swahilinet.com
ReplyDeleteenzi hizo indiketa za nyuma ilikuwa hamna
ReplyDeletePimp my ride!!
ReplyDeleteenzi hizo hawakuwa na AC sasa kwa daslama na joto lake hii ni friji ya moto baba, tena rangi nyeusi inafyonza jua kama haina akili
ReplyDeleteUSA KWA MAGARI YA SURA MBAYA NDO ZAO KA KIBOKO, WAMEBADILIKA SIKU HIZI TU KWA KUMUOGOPA M-JAP NA WAO WANATENGEZA ZENYE SURA NZURI ZAMANI NYEE GARI KAMA INATAKA KUJISAIDIA HAJA KUBWA.
ReplyDeletesubiri kidogo hali ya uchumi duniani itakaporejea utapata wanunuzi sasa hivi matajiri wote wako katika kuhesabu hasara zao. nakushauri baada ya mwaka irudishe picha mtandaoni.
ReplyDeletehiyo ni 1948 au zaidi canopy,suburban etc kwa ufupi chevy trucks za around 1948-1950's.utapata mishiko kama vitu vingi ni original,personally body nimeikubali na nitakupigia simu.
ReplyDeletemdau Prescott,AZ
WEWE KIJANA MDOGO HIYO UMEIPATA WAPI? UMERITHI KUTOKA KWA BABU YAKO? HEBU TUJULISHE HUENDA IKASAIDIA KUPANDISHA DAU.
ReplyDeleteBwana Biashara unaijua na Gari unajua kuitafuta na la pili unaongeza sasa msaada gani waomba kwa waswahili au unaomba kijicho . Mtu kitu hana wamtamanisha apitishe macho na rai wamekupa. sasa tunaomba msaada wako tufahamishe magari ya kizamani yanapatikana wapi. mimi navojua kuwa mitumba zote zinatoka nje ya nchi.
ReplyDelete