Home
Unlabelled
didier drogba ni changamoto kwa wachezaji wetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Didier anashangaa ,hawa wabongo vipi mbona wananishangaa hivi.teheteheee.
ReplyDeleteMdau
duniayetukubwa.blogspot.com
Kwa wabongo tulivyo washamba,wazembe na wavivu kuna mijitu itakacha kufanya shughuli zao za kila siku kwa kukesha kutwa nzima kuwaangalia hawa wapopo.Si cha kiongozi wa serikali au kampuni fulani kazi hazitofanyika mpaka siku hawa wala pilipili watakapoondoka kuelekea Angola.
ReplyDeleteTanzania ndio maana tunaiita bongo, ku-survive ni lazima utumie bongo.
ReplyDeletehapa didier hakuwa anahitaji bouncers wake peke yake, lakini hapo lazima mwenye kusimamia masuali ya hii timu ameongea na kampuni inayoleta hao mabaouncer wakakubaliana mkato fulani na kupewa deal hii.
hapo hata mwenyewe didier anashangaa hawa wote wananilinda mimi kama vile nataka kuifunga bao taifa stars he he he he he
Ni changamoto kweli ila sijaelewa nidhamu ya hali ya juu unayoizungumzia ni ipi.
ReplyDelete