achilia mbali nidhamu ya hali ya juu pamoja na kutojiskia, didier drogba amekuwa changamoto kubwa kwa wachezaji wetu ya namna ya kuwa mweledi. hapa analindwa na ulinzi wake binafsi na alioandaliwa na wenyeji wakati wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Didier anashangaa ,hawa wabongo vipi mbona wananishangaa hivi.teheteheee.

    Mdau
    duniayetukubwa.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Kwa wabongo tulivyo washamba,wazembe na wavivu kuna mijitu itakacha kufanya shughuli zao za kila siku kwa kukesha kutwa nzima kuwaangalia hawa wapopo.Si cha kiongozi wa serikali au kampuni fulani kazi hazitofanyika mpaka siku hawa wala pilipili watakapoondoka kuelekea Angola.

    ReplyDelete
  3. Tanzania ndio maana tunaiita bongo, ku-survive ni lazima utumie bongo.

    hapa didier hakuwa anahitaji bouncers wake peke yake, lakini hapo lazima mwenye kusimamia masuali ya hii timu ameongea na kampuni inayoleta hao mabaouncer wakakubaliana mkato fulani na kupewa deal hii.

    hapo hata mwenyewe didier anashangaa hawa wote wananilinda mimi kama vile nataka kuifunga bao taifa stars he he he he he

    ReplyDelete
  4. Ni changamoto kweli ila sijaelewa nidhamu ya hali ya juu unayoizungumzia ni ipi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...