Home
Unlabelled
disposable wife
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kali. Je, naweza kupata mweusi wa aina hiyo? Lakini nashangaa MAKALIO yanaingiaje hapo kwenye jina la clip?
ReplyDeleteJamani sasa hii kali. Naona teknolojia inatupeleka pabaya. Niliona habari fulani pia kwenye magazeti kwamba kuna jamaa nae anaishi na midoli miwili ya kike kwa muda mrefu na anasema hana haja ya mwanamke tena! Mungu atusaidie!
ReplyDeleteJamani nani anaijua hiyo nyimbo? wazee wa macharanga mpo? anyone who knows the name of the song? imenikuna hiyo nyimbo nimemkumbuka Charles Hillary Mzee wa macharanga
ReplyDeletekwa matatizo niliyonayo nitakuwa wa kwanza atakapoingia mtaani maana hawa wa ukweli kazi kwelikweli, mara kelele mara wivu mara kapata boy friend mfanyakazi mwenzie yaani we acha tu!!!!
ReplyDeleteMungu wangu Michuzi wewe umeshindikana kabisa maana nimecheka kupita kiasi,safi sana du mwanamke anachonga utafikiri katiwa nyama ya moto mdomoni!!but how about Disposable Husband???Hahahahahahaha!!!!!1 Thanks kaka Michuzi.
ReplyDeletehii itatufaa sisi ambao wanawake zetu wametuabuse nakutafanyatuwe na lowself esteem sasa baada ya kutumia mkono unamtumia huyo disposable wife
ReplyDeletenlishaanza kuchekelea upajazzzz kumbe upepo!! aaargh
ReplyDeleteMdau wa pajazzz+titizzz