"Goal or no goal, now you can decide," Frankfurt said of their "phantom goal memorial" which urges fans to try their skills.

"Whoever manages to hit the bar from 18 metres with the ball bouncing away from the goal gets free entry to the match," the club said on their website.

Duisburg were awarded their fifth goal when Christian Tiffert beat the Frankfurt keeper with a chipped shot from 18 metres which hit the bar and bounced more than a metre away from the goal line.

The linesman told the referee the ball was in.
Both teams' players and coaches were stunned to see the referee award the goal with television replays showing the ball was 1.3 metres away from the line and no players were blocking the view of the officials.

Source: http://video.yahoo.com/watch/6808284

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. teh teh, makosa ya kibinadamu eti nhi hi hii. Wamnunulie mshika kibendera miwani ya lensi mbinuko ya juu kabisa kabisa ili apate kuona'mo vizuri.

    Nadhani mambo kama haya ndiyo yatakayosababisha vingamuzi vianze kutumika kwenye mechi za mpira wa miguu kama wanavyofanya sasa hivi katika mchezo wa mpira wa kipapu Marekani (NBA).

    ReplyDelete
  2. umefikia wakati FIFA inabidi wafikirie kuanzisha sheria ya kuchallenge au official review kama wanavyofanya kwenye american football hili litapunguza malalamiko ya hata magoli ya mikono na penalty zisizo halali

    ReplyDelete
  3. Hii kweli imekaa vizuri, nadhani sio goli na kama ningekuwa uwanjani labda ningemkimbiza refa kidogo.

    Naona watu wote walishikwa na butwaa hadi wachezaji wa timu pinzani labda waliishiwa nguvu hata ya kuiliza imekuwaje.

    ReplyDelete
  4. i wish ingekuwa ni yanga/simba wamefungwa goli hilo na al ahly au zamalek

    ReplyDelete
  5. pata picha mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga inatokea kama hii!! je refa angetoka wanjani?

    ReplyDelete
  6. Ingekuwa Africa huyu refa wala asingetoka uwanjani akiwa mzima..duh

    ReplyDelete
  7. mdau wa kwanza ni kwa nini mshika kibendera anunuliwe miwani? ni kosa la referee, unaona kabisa kama mshika kibendera bendera yake ilikuwa chini na anakimbia kufuata unakoelekea mpira hiyo inaashiria kabisa kuwa ameona kuwa mpira huukupita mstari wa goli. Ila regeree (ambae ndie mwenye uamuzi wa mwisho) ndie aliepiga kipenga na kuashiria kuwa ni goli. kama kununuliwa miwani basi ni refa ndio anaehitaji miwani haraka sana,

    ReplyDelete
  8. UCHAWI UKIZIDI SANA. sio simba na yanga peke yako ndiyo wachawi hahah..hakuna hata mchezaji aliyelalamika mmhh!!ebu nipeni ripot ya refa baada ya mechi.

    ReplyDelete
  9. thia is totally rediculous, huyu refa pamaja na msaidizi wake wa pembeni wanapaswa kupewa adhabu kwani hata wangekuwa mita 40 kutoka golini wangeona kama mpira umevuka mstari au la....hoja wa kuwa na extra referee kwenye goal sasa inabidi itiliwe mkazo otherwise kama ndio ingekuwa goli la kusawazisha unadhani Frankfurt wasingegomea??? wameshindwa hata kugoma kwasababu ni goli la 5 kufugwa hivyo wakaona hewalaaa sheikh!!!!

    ReplyDelete
  10. Ooh refa Othman Kazi anazibeba timu fulani!! Si mnaona wenyewe refa wa ligi ya kueleweka alivyokuwa 'accurate' kwenye maamuzi. Kulaleki, huyu angecheza hii mechi mchangani sijui angerudi home mwili ukiwa umetimia viungo.

    ReplyDelete
  11. Raha ya mpira uamuzi wa uwanjani mambo ya kashika, goli si goli haisaidii kitu. Hilo gori refa kasema mpira kati. Mbona yakiingiaga ya offside akikataa hatulalamiki?. Refa ni mwamuzi wa mwisho, ila huenda uamuzi wake huu ukawa ndiyo mwisho wa career yake.

    ReplyDelete
  12. Anon wa Wed Jan 20, 01:27:00 PM, umesoma maelezo yaliyotolewa katika video hiyo na ukausoma mstari huu, 'The linesman told the referee the ball was in.'?
    Hicho ndicho kigezo cha maoni yangu ya mshika kibendera kununuliwa miwani. Refa alikuwa mbali kuweza kuona vizuri, alisubiri neno toka kwa mshika kibendera kuthibitisha kama goli ama si goli (kupitia vile visikizi valivyofaa masikioni kwa mawasiliano).

    ReplyDelete
  13. http://www.youtube.com/watch?v=cWagKCB3Wo8



    Hiyo copy ndio goal ambalo halikuwa likakubaliwa goal watford vs Reading 2-2 Refa alichemsha hata mwamba haijagonga. Kimaro.

    ReplyDelete
  14. Si goli

    refa kauwa

    ReplyDelete
  15. Nina uhakika refa kazaliwa bongo na mechi hii ilikua chini ya usimamizi wa TFF wallahi. LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...