Home
Unlabelled
namna ya kuanzisha libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Somo zuri. Mimi nilianza bila kujua cho chote. Na wakati mwingine kujifunza kwa vitendo (learning by doing) ndiyo njia bora zaidi ya kujifunza jambo jipya. Bado ninajifunza na elimu hii inaendelea daima dumu.
ReplyDeletePengine hujui lakini wewe ni kama mlezi wa wanalibeneke. Tunakutegemea sana na so far ulezi wako umeutumia vyema. Libeneke ni lazima liendelee ati!
HII NDIO SIRI KUU YA KUJIBARIKISHA ( KUJIPA BARAKA), SAIDIA WENGINE WAFANIKIWE KAMAM WEWE AU ZAIDI UKIWABANIA TUU YANAKUWA MABOYA YA MPANDA NGAZI
ReplyDeleteNashikuru kwa hii elimu. Nilishaweza kublogua kabla hujatupa somo rasmi ila hiyo ya kublogua kwa simu ndo bado inanipa shida. maana namba zilizopo kwenye somo hapo ni za majuu nadhani. Hebu saidia kama yawezekana kublogua kwa kutumia simu.
ReplyDelete