Home
Unlabelled
haiti earthquake claims 100,000 lives
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sad, very sad indeed. I was following someone posting photos on twitter and later saw some posted in Boston Globe's Big Picture and..., *sigh*, I just... mourn and weep. It's sad! Very sad.
ReplyDeleteMay the souls of all who died in this e.quake rest in peace.
AMIN. AMIN. AMIN.
haya mambo ya mother nature acheni tu poleni saana wenzetu wa huko haiti yani sijui hata ni mwisho wa dunia umekaribia? anyway mungu tunusuru na hili AMEN
ReplyDeletemanka wa canada
apa ndo uwa nachoka kabisaaa uumbaji huu "mother nature" yani watu wanateseka sana apa duniani,tunateseka sana sana,,,
ReplyDeleteyani nimesikitika sana adi machozi kwa hawa watu wa haiti-ivi iko Haiti yenyewe iko pande ipi???
duh itabidi visiwa vyote na maeneo yenye dalili za tetemeko ziwekewe vifaa maalum vya kutambua mapema khaaaaa...msaada
Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi,,God will embrace yu pple
Haiti ilipata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita yaani mwaka 1804 baada ya watumwa wa kiafrika kuwashinda kivita watawala wa kifaransa.
ReplyDeleteMataifa makubwa duniani enzi hizo Ufaransa na Hispania walijiunga kujaribu kushinda uasi wa watumwa lakini wakapigwa kijeshi na kufurumishwa toka Haiti.
Ufaransa na Hispani wakahakikisha Haiti inatengwa kiuchumi, hakuna wawekezaji toka ulaya na Marekani walioruhusiwa kuingia humo Haiti.
Matokeo Haiti ni nchi masikini kuliko zote ktk ukanda huo wa carribean na americas(north,central,south america).
Kukitokea vimbunga-hurricanes, tetemeko la ardhi, utawala wa kimla kama wa Papa Doc na Baby Doc basi inakuwa habari kubwa.
Ukweli watawala wa zamani meno nje kwa dizaini ya misaada na coverage kupita kiasi ili kuonyesha ulimwengu laana ya nchi kubwa kupigwa kijeshi miaka hiyo ya 1800 na majemedari weusi.
Poleni sana ndugu zetu wa Haiti kwa majanga ya nature na majanga ya kutoka kwa nchi kubwa. Maana hata sisi hatujui miaka 150 ijayo nchi za kiafrika zitakuwa ktk hatua gani kiuchumi na masuala ya ujinga, maradhi.
Mdau
Mjima
haiti ni kisiwa kinachokalibiana na kisiwa cha jamaica.kipo kusini mashariki mwa marekani na cuba wakazi wake 80% ni masikini. na wengi wao ni waafrika weusi. kwa hiyo hawa jamani ni ndugu zetu inabidi nchi za afrika tutoe misaada kwa Haiti.
ReplyDeletemdau
mussa