Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal Michuzi mimi naomba uanzishe mada ya kuuliza wadau wa globu lako wanaandika kutokea wapi?

    Nataka tu nijue watanzania tower la babel limetuangushia wapi? Nimeona Earthquake ya Haiti nikajiuliza hivi kuna mbongo huko kweli...? Kuna vitongoji vingine nimeshafika huku nilipo ni ndani ndani na utafikiria ni wenyeji tu ndio wanaishi huko...mara unaona Indian store...Wahindi walifika na kuweka makazi siku nyingi tu....Sidhani kama kuna nchi ambayo haina kuhindi na mnigeria....Nataka nione exciting and iteresting places ambazo Wabongo tumevunja mipaka.

    ReplyDelete
  2. Kwa mara ya kwanza nimeona euro dollar.. ni pesa ya wapi hiyo???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...