Ndugu jamaa na marafiki,

Tunapenda kuwatangazia kuwa, kutakuwa na ibada fupi ya msiba wa marehemu Sophia G Lusingu itakayofanyika:
Siku: Alhamisi
Tarehe: 14 Jan 2010
Muda: 11 am to 1pm
Mahali:address:
Warehouse
1 Cumberland road
Reading
RG1 3LB

Tafadhali mjulishe na mwenzako

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na simu zifuatazo:
07954563709, 07888841971, 07799212095,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...