Home
Unlabelled
joyce mhaville alamba bingo living room
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Biblia haikudanganya iliposema kwamba 'alichonacho ataongezewa na ambaye hana hata kile kidogo alichokuwa nacho atanyanganywa'. Hongera Joyce. Utugawie nasi baadhi huku newsroom.
ReplyDeleteama kweli mwenye nacho ataongezewa duh hongera dada
ReplyDeletesamani ndio nini tena?
ReplyDelete..kutoka kwa anoni wa kwanza.."aliye nacho ataongezewa na ambaye hana hata alichokua nacho atanyang'anya".. We tazama katika maisha yako hadi sasa ulishawahi kuona bahari ikapeleka maji mtoni? hata mvua inyeshe vipi mto utafuika kisha utatiririsha maji yake yooote kwenda baharini hadi kukauka kwake, so hongera Ms.Joyce Mhavile nadhani kaukali katapungua!
ReplyDeletekama kuna mwanamke ambaye namfagilia tz basi joyce ni mmoja wapo..anajiamini..anaweza...na anasababisha..good job dada joyce mungu akuzidushie...
ReplyDeleteuko juu joyce mhaville hata wasemeje...
ReplyDeleteWatu tuko tofauti yaani mshahara wa mimi daktari ni Tshs. 5000,000 (laki tano) halafu mwingine anapata eti furniture za millioni 20. Mimi kwangu hizo nafikiria nikipata ni kujenga nyumba na sijui hata lini nitazipata!
ReplyDeleteHuwa najifariji sana na kufanya kazi kwa bidii kama hakuna lolote linalonisumbua maana yote yatapita nikikumbuka kuwa huko mbinguni wote tutakuwa SAWA, ama una uzima wa milele au una mauti ya milele.
Ngoja niwahi on call maana nimeitwa kuna wanachi wameletwa wamepata ajali.
Utata mtupu!!! mh
ReplyDeleteDr ganiwewe? uwezi hata kuandika laki tano (500,000/=)
ReplyDeleteAnonymous gani wewe?
ReplyDeleteHuwezi kuandika Dr. unaandika Dr tena huwezi kuandika gani wewe unaandika ganiwewe