Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Mrs. Rosemary Lulabuka, kushoto, akiwaeleza wabunge wa kamati ya maendeleo ya Jamii toka Bunge la Namibia namna Mfuko wa Elimu Tanzania unavyofanya kazi nchini katika kusaidia kukuza sekta ya Elimu. toka kulia ni Mhe. Elia G. Kaiyano, Mhe. Peya Mushelenga, Mhe. Juliet Kavetuna, na Mhe. Elma Dienda na Mhe. Reggie Diegaadt. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa TEA, Bi. Sylvia Lupembe akiwasilisha mada kwa wabunge wa kamati ya maendeleo ya Jamii toka Bunge la Namibia namna Mfuko wa Elimu Tanzania unavyofanya kazi nchini katika kusaidia kukuza sekta ya Elimu. toka kulia ni Mhe. Elia G. Kaiyano, Mhe. Peya Mushelenga, Mhe. Juliet Kavetuna, na Mhe. Elma Dienda na Mhe. Reggie Diegaadt. kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TEA Bi.Rosemary Lulabuka





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...