Kamanda Mssika akihojiwa na TBC
Mdau Kiongozi wa Libeneke,
Tafadhali uwafahamishe wale wote waliokosa kukiona kipindi cha pili cha Usiku wa Habari kuhusu "kushamiri kwa rushwa katika vizuizi vya magari na mizigo Iringa" kilichorushwa na TBC kuwa wanaweza kutizama video hizo katika linki hii
Shukran za pekee zimwendee Dk. Tonny (Spika) kwa kurekodi na kuzituma video hizi kwa ajili hasa ya Watanzania wanaoishi nje ambao wangependa kuziona.
Siku njema!
Subiwww.wavuti.com
Kaka Michuzi, tunashukuru kwa kutuwekea hiyo habari ya kazi nzuri aliyoifanya Jerry Muro. Kwa kweli anahitaji pongezi kwa kuwa ni wachache sana tunaweza kuchukua risk na kuanika uozo unaondelea katika sekta mbalimbali.
ReplyDeleteOmbi langu ni kwamba tuwaombe walioandaa hiyo coverage akam wanaweza kui-post kwenye you-tube kwa kuwa hiyo dailymotion an link zingine kuna error.
Kwa mara nyingine tena Jerry Muro hongera sana.
Madereva husema: Ua mtu mmoja(1) kuokoa watu 65.
ReplyDeleteIla hii imekaa mkao wa kutoa Kafara wenye njaa(Polisi) kuponyesha waloshiba(Vigogo).
Ahsante wavuti na tony kwa hii clip. Nadhani sasa ni changamoto kwa TBC kuweka clips za habari ktk youtube kama wenzao wa Kenya K24TV, KTN, CitizenTV.
ReplyDeleteMdau
Ughaibuni.