Mwakilishi wa Tanzania katika fainali za kisura wa Afrika 'Face of Africa', Liliani Mduda akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, leo kuhusu ushiriki wake katika fainali hizo zitakazofanyika februari 6 huko Nigeria. Kushoto ni Meneja Masoko wa Multchoice Tanzania, Furaha Samalu. Chini ni Liliani katika pozi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. Eat something lady!!!

    ReplyDelete
  2. Jamaa huyo mtoto mtafutieni mamalishe aongeze angalau kilogram 5 za uzito wa mwili.
    Mdau
    Mtanzania

    ReplyDelete
  3. Ukiangalia maoni ya watu wengi siku hizi yanasisitiza kuvipenda vitu na watu wetu kama watanzania, ila kuna wakati ni kazi kweli kweli kufanya hivyo...Sio siri.

    Omega.

    ReplyDelete
  4. You guys need to be seriously bila hivyo mtashindwa kila siku. Yaani mmekosa kisura kweli.?

    ReplyDelete
  5. Hii sio face/body of Africa.

    ReplyDelete
  6. Labda sielewi maana ya kisura. tafadhali nifahamishe, nisije mwaga upupu bure!

    ReplyDelete
  7. Kisura wa bongo?
    Lazima mtakuwa mnafanya masihara au macho yenu yana makengeza.

    Au wavivu wa kutafuta?
    Bongo kuna vimwana nyinyi acheni utani,mambo ya kuchukua mabinam zenu ndio yanayotuharibia.

    Ah!wacha ninyamaze.

    Mndengestan.

    ReplyDelete
  8. mmh jamani hataaaaa!!! me hata sioni ukisura wake. kwa hali hii kila siku tutakua tunasindikiza wenzetu. au ukisura ni wembamba? maana sielewi.

    ReplyDelete
  9. Kaka Michu hiyo ni Balaa!huyu dada atakua na anorexia yani thats not beauty jamani tena wanawaita Face of Africa?!!! Hapana tutafuteni sura za kina dada walokula msosi wa kiafrika wakashiba.

    ReplyDelete
  10. WABONGO KWA MISHEMISHE HATUJAMBO HATA MASWALA KAMA HAYA NAYO WATU WANAYAPATA KWA FITNA HEBU NIAMBIENI PANA KISURA HAPO KWELI?

    ReplyDelete
  11. Nafikiri tuanze na kuangalia historia ya 'mnet face of africa' wanaangalia vigezo gani, ndio tuangalie na huyo mrembo wetu kama yupo kundini au vipi kabla ya kuanza kurusha maneno ya kukwaza. Hii ndio inatukuta hata kwenye mashindano ya urembo ya dunia, tunapeleka washiriki kwa vigezo vyetu sisi badala ya kuangalia hao waandaaji wa mashindano yenyewe wanataka nini!

    Kama tunataka warembo wa mapenzi yetu, basi na tuandae mashindano yetu wenyewe ili roho zetu zitulie, na sio kupeleka washiriki wa mapenzi yetu kwenye mashindano yaliyoandaliwa na watu wengine kwa vigezo vyao wenyewe!

    ReplyDelete
  12. full mkondefu lol!! kisura hatakiwi kuwa mifupa hee!!

    ReplyDelete
  13. Lil kipindi kile unakuja Mzumbe sec kwenye TYCS ylikuwa na mwili !!!ila leo rafiki yangu ni balaa!!!ebu rudi hata wiki moja pale kilakala wakakupe Makande na Maharagwe!!!

    ReplyDelete
  14. hiyo ni sanamu of africa, pata ugali kidogo dada, usiwaige mamodo wa nje ambao hawali, du pole

    ReplyDelete
  15. God help us.

    ReplyDelete
  16. God help us.

    ReplyDelete
  17. Hongera Lilian, Nadhani sisi wakulima wa Shamba Kibaha utatuwakilisha ipasavyo. Maana tumeona mwezi sasa. Hongera sana, ila ongeza mambo fulani uliyokuwa nayo zamani, maana umepungua sana dada.

    ReplyDelete
  18. Nataka kuuliza kwa yeyote yule aliyekuwepo katika hayo mashindano ya kisura wa afrika, anaweza kutueleza kulikuwepo washindani wangapi? pia kulikuwepo na majaji wasioona?

    Sisemi kuwa huyu binti si mzuri ninachosema ni kuwa tanzania kuna wazuri kuliko huyu.

    binti anaonekana kabisa kama ana matatizo ya kula! anahitaji msaada haraka sana.

    Jamani toka lini mifupa mitupu kuwa kivutio kwa binaadamu na mtu kuitwa mrembo.

    Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, GOD HELP US!!!!!!

    ReplyDelete
  19. Ni ukweli usiofichika tanzania kuwa kila kitu ni kwa kujuana, toka kazi, nafasi za masomo nje n.k.

    Naona sasa hayo mapendeleo yanaingia mpaka kwenye mashindano yasio na maana kama haya. Haiwezekani kabisa kama huyu dada ameshinda bila ya kupendelewa na majaji. Ni lazima anajuana na waendesha mashindano, au ni mtoto wa kigogo, ama wazee wake wanajuana na vigogo au ni .... siseme hapa maana brother michuzi ataitia post hii kwenye kikapu.

    Lakini zipo style nyengine ya washiriki wa mambo haya duniani kote huwa wanatumia ili kujipatia advantage kutoka kwa majaji, so labda huyu dada ametumia moja ya njia hizo

    ReplyDelete
  20. huyu demu kweli ana wakilisha hali ya nchi yetu tanzania. checki alivyo vyebaa utazani muogo mbichi

    ReplyDelete
  21. African beauty got nothing to do with Western 'Skeleton is beauty' SIZE ZERO rubbish! Majaji wa warembo dumisheni utamaduni na chagueni warembo wanaotuwakilisha waTanzania. yaani hapo sioni chochote naone mifupa ya ngongoti tuu imesimama mbele yangu. Hapo ndio amevaa nguo akivua jee kaka zangu naona mtakimbia!!

    ReplyDelete
  22. jana asubuhi tumemuona mitaa ya american embassy anachanja mbuga,
    tukajiuliza hyu binti anaenda wapi asubuhi hii na kivazi hicho
    kumbe ndo modo wetu mwakilishi eennhh ookkaayy

    ReplyDelete
  23. Agano la kaleJanuary 21, 2010

    michuzi tafadhali ondoa hii picha ya huyu dada. Hii picha inaondoa stimu

    ReplyDelete
  24. huko kwenye skeletons of africa anaweza kushinda------!

    ReplyDelete
  25. Kwa kweli hapa hakuna kitu kabisa. Hii ni vunja mifupa ungali meno mpooooooo. Kama mambo yenyewe ndo haya na mimi kipindi kijacho nitashiriki haya mashindano. Make naona ni na nafasi kubwa ya kushiriki haya mashindano. Inabidi aongeze kilo kumi na tanp. Na isitoshe sio kisura kama ninavyoijua Tanzania yetu...

    Mdau USA

    ReplyDelete
  26. Sio Lazima kushiriki kila mashindano. Kwanza na sisi tuanzishe mashindano ya kucheza bao ya dunia.. afu tunashiriki wenyewe afu tunakuwa mabingwa wa Dunia

    ReplyDelete
  27. huyu michuzi anajua fika kama huyu mtoto hana u-kisura wowote. Pengine amegombana naye huko sasa amemtundika humu makusudi ili wadau wamnange.
    Kisura gani huyu?
    Si bora wampeleke kingwendu akawakilishe tuu?

    ReplyDelete
  28. JAMANI KAMA HATUNA MTU NI LAZIMA KWENDA? SI TUJIKALIE TU KULIKO KWENDA KUTUTIA AIBU NA MTU AMBAYE HANA UKISURA WAINA YEYOTE? KWELI MMEKOSA MTU.

    ReplyDelete
  29. Jamani huyu mama naomba mmpatie chakula. Amekonda sana

    ReplyDelete
  30. WATANZANIA BWANA HAPA WAKIPEWA AMBAYE ANGEVUTIA WENGI AKAENDA HUKO AKASHINDWA WANGEBADILISHA MAONI HAYA NA TUNGESIKIA KINYUME CHA COMMENTS HIZI SAME APPLIED TO HUYU AKIENDA AKISHINDA COMMENTS ZITABADILIKA HAPA UANOREXIA NA KADHALIKA VITABADILIKA SASA NADHANI KWA UFUPI NI KWAMBA HATA SISI WENYEWE HATUJUI TUNACHOTAKA WATZ TUNAZUNGUMZA SANA ANYWAY NI KAWAIDA YA MWANADAMU LAKIni at least hata mmoja basi ajue anataka nini

    ReplyDelete
  31. Hivi nyie mnaotoa comments zenu kumponda huyo dada,nyie ni visura? mna uhakika gani kama nyie ndo mmekosewa kuumbwa?
    Acheni kukosoa uumbaji wa mungu.
    Mtu akiwa mnene tabu akiwa mwembamba tabu. Huyo mzee wa mahesabu ya serikali za mitaa mmesema two-in-one, lipi jema kwenu?

    Mdau

    ReplyDelete
  32. Wengi wenu mliotoa comment itakuwa hamjafatilia hili shindano. Ukweli ni kuwa washiriki walikuwa 25 kutoka nchi mbali mbali za Afrika na nnampongeza Lilian kuweza kufika alipofika manake washiriki 15 wametolewa na yeye bado anapeta. Haya mashindano ni zaidi kwenye modeling na sio kwenye sura ya mtu. Hongera Lilian nakutakia kila la kheri kwenye finali Feb 6.

    ReplyDelete
  33. dah.... i think these people r trying to use these competitions kupata misaada kutoka nje by showing tanzania ina njaa... come on guys b serious Tanzania is not Darfour... we r blessed.... wacheni kututia aibu

    ReplyDelete
  34. OMG!!!!!
    Naona tujiandae tu na shindano la mwakani, mwaka huu tumechemsha.
    Ushauri, next time tujiandae vizuri. Kaaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  35. mnaowadharau mara nyingi ndio wanafanya vizuri subirini muone matokeo hiyo feb 06,

    hata kipndi cha nancy sumary wengi walidharau akaja kufanya vizuri kabisa

    mi namuombea afantye vizuri tu usikute kuna vigezo majaji wameviona kutoka kwake iweje aendelee kubaki? kingine ajaribu kunyoa upara inasaidia sana

    ReplyDelete
  36. eh ndugu zangu samahani mimi nilifikiri huyu dada aliyekaa Kushoto ambaye ni Meneja Masoko wa Multchoice Tanzania, Furaha Samalu
    eh kumbe ni huyo dada mwengine sasa hawa multchoice wanafaya nini?? kama wengine walivyosema tuna wasichana wengi na wazuri sana kwani hawaoni?? tupe kazi hiyo

    ReplyDelete
  37. jamani binti ni mzuri,nyie madomo kaya mlitakaje?sasa mlitaka hata kina maimuna wapande jukwaani ili mradi mkologo na kibinda!acheni pumba zenu kimwana msomi huyo namjua

    ReplyDelete
  38. my dear little sis ongeza uzito kidogo uko under weight maana hata ulaya sasa hivi mamodo skeleton hawachukuliwi kwa kuwa wasichana wamekuwa wakijitesa sana kwa kutokula kama unataka mikataba mizuri hata ulaya usiwe hivyo ulivyo unakuwa kama mgonjwa.ndo mana watanzania umasikini hauishi watu wanapenda kifuatilia ya watu na kukosoa tu huyu dada mmemnanga mpaka basi ama kweli nabii haheshimiwi kwao akirudi na ushindi mtaanza kujishauwa bora mmwambie mtu kwa upole

    ReplyDelete
  39. wivu tu.she gonna make it tanzania kazi hakuna au nini watu badala ya kutafuta hela mmekaaa kumponda mtu kaeni hapo yake yamnyokea.wengi hapo nia wale wasio na mafanikio mama yangu alinifundisha ukiona mtu anamsema mwingine ujue amezidiwa ndo anaponda maan hata cku moja huwezi kumsema aliye chini yako

    ReplyDelete
  40. Huyu binti ni Mzuri sana na Mungu atambariki atashinda au hata kufika tano bora kama sio tatu mtaniambia halafu kama wengine walivyosema wataanza kujishaua. Ana features za viwango vya kisura kuanzia jaw bone mikono, urefu na hata mpangilio wa meno akicheka na rangi yake ni asili hana mkorogo wala nini ingekuwa miss bantu kweli mngesema hana makalio as far as kisura is concerned she is the one.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...