Ankal Michuzi!
Natumai unaendeleza
libeneke kama kawa kwenye blog yetu ya jamii.
Naomba uwatambulishe wanajamii

libeneke jipya la blog ya kazi Tanzania: www.kazi999.blogspot.com

Humu kaka kuna matangazo ya kazi zinazotangazwa kila siku kutoka katika vyanzo tofautitofauti, ikiwemo waajiri kutumuma matangazo yao ya kazi mojakwamoja kwenye blog.

Nashukuru sana Ankal
na nakutakia kazi njema!

Mdau wa kazi999

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hello!humu kwenye blog ya kazi999 please mngefuta zile post zilizoisha vilevile muandike tarehe tafadhali.
    Ahsante.
    Mimi mfuatiliaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...