Home
Unlabelled
kilima nanihii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Barabara iko kama bahri, haina mark yoyote, hivi serikali wameshindwa hata rangi?
ReplyDeletekinaitwa kilima HAMU......mabinti huwa wanapenda sana kuhema kwa nguvu wakifika hapo
ReplyDeleteuhuru wa kuongeaaaa. hiki si kinaitwa kilima nyege....zi. sema usikike kijana sio unasema kilima nanii
ReplyDeleteKuna kikwangua anga kilijengwa pale Toure Drive, njia panda ya kwenda Ubalozi wa Afrika Kusini kikapigwa nyundo kwa minajili ya kwamba hairuhusiwi kujenga vikwangua anga kwenye sea front.
ReplyDeleteJikumbusheni kwa kubofya link ifuatayo: http://issamichuzi.blogspot.com/2009/02/bongo-tambarare.html
Eti vinazuia upepo kwa waheshimiwa wenye nyumba za kawaida nyuma ya kikwangua anga hicho.
Sasa hivyo vikwangua anga vinavyoonekana hapo ambavyo viko maeneo hayo hayo ya sea front je vitapigwa nyundo?
hivyo vikwangua vya hapo havitapigwa nyundo kwani haviko kwenye main road kama vile isitoshe jamaa alishinda kesi ila ndo presha inapanda presha inashuka na anataka kuyauza yale magorofa ila ndo anavuta pumzi kwanza ndoto ya jinamizi ipite
ReplyDeleteHaya naona vikwangua anga vimeshaanza kuchafua skyline ya obay na masaki....soon patakuwa hapa tofauti na kariakoo
ReplyDeletesheria ya ujenzi maeneo kama hayo public hayaruhu kujenja jengo zaidi ya ghorofa nne,ila kama kawaida TZ hela yako tu na sheria inapindishwa
ReplyDeletevikwangua anga vyaja, lakini system ya maji taka ipo??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
ReplyDelete